Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,571
- 217,930
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa kanda hiyo Mh Msigwa, viongozi wazito wa Kanda hiyo wamefika ndani ya Gereza hilo la Ruanda na kumsalimia ofisa wa kanda hiyo aliyewekwa kwenye gereza hilo kwa zaidi ya siku 250 baada ya kushitakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana .
Hata hivyo katika hali ya kushangaza wamemkuta Mdude akiwa katika hali ya furaha na bashasha huku akiwapa ujumbe mzito kwamba AMEFUNGWA MWILI LAKINI HAJAFUNGWA AKILI NA FIKRA .
Mungu ibariki CHADEMA