Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata. Bomba la mafuta toka Hoima...
84 Reactions
403 Replies
49K Views
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au hata usiku wa manane. Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani. Hata siku za...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo. Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam wanaJF! Katika kipindi kirefu sana kumekuwa na mjadala juu ya kuruhusu uraia wa nchi mbili 'dual citizenship' katika taifa letu. Mjadala huu umepamba moto sana haswa katika uongozi wa...
2 Reactions
395 Replies
43K Views
JUMATANO, SEPTEMBA 19, 2012 08:49 NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM *Baada ya wenzao kuomba radhi, wengine wasema hawahusiki *Wasema walioomba msamaha wanatumiwa kwa masilahi yao Jana...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA Baraza la Madaktari Tanganyika limepokea malalamiko kutoka kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba, baadhi ya Madaktari waliopata usajili wa muda ili...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Sasa tunaanza kushuhudia watu wanajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe, ni kama watu wanalazimisha hamasa ila kama ilivyo ada hamasa ya kutunga haiwezi kuonekana kamwe na itabaki kuwa sinema...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati hizo kuanza, jijini hapa. Huu ni mchuano mwingine bungeni kwa wabunge wa Chama...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimemsikiliza Profesa Kabudi akieleza nini Mtumishi wa Umma anapaswa kufanya, baadhi ya Mambo anayosisitiza ni pamoja na mtumishi wa Umma: 1. Kutii (obey) mamlaka iliyopo juu yake. 2. Kama ataki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo...
3 Reactions
93 Replies
12K Views
Hakuna Jambo linawatesa wastaafu na waliotumbuliwa kama kuwaza namna yakuja kuishi uraiani na sisi. Wengi wa wadosi wa siku hizi wamewekeza sana kuaribu maisha ya wanaowaongoza kuliko kuwaletea...
1 Reactions
0 Replies
641 Views
Hizi ndio Salam za pongezi kutoka kwa Prof. Lumumba. Imani yake bado ni kubwa kwa Rais Magufuli
13 Reactions
66 Replies
6K Views
Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water...
18 Reactions
33 Replies
5K Views
Huko kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi ni wazi kuna tatizo kubwa tu tatizo ambalo hata serikali inalisikia lakini mpaka sasa inaonekana serikali kwa kushirikiana uongozi wa DART wameshindwa...
20 Reactions
125 Replies
12K Views
Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima. "Na mimi nawambieni...
4 Reactions
94 Replies
11K Views
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye...
49 Reactions
236 Replies
25K Views
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki . Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
26 Reactions
102 Replies
15K Views
Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe. Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania. Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kuisha tumeshuhudia jinsi wafuasi wa CHADEMA wanavyopambana katika harakati za kisiasa mitandani katika kila nchi duniani kipindi cha...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Back
Top Bottom