Mch Gwajima alitenda dhambi kuwalaghai Lowassa na Slaa?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
332
1,000
Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM.

Baada yakuingia JPM akabadilika na mwisho akaingia kwenye meza yamazungumzo na kuomba radhi Jambo lililopelekea azawadiwe Ubunge.

Kwa nafasi yake kiimani wakati anayafanya haya huko sirini aliongozwa na roho gani? Je, toba ya haya uifanya sirini au upo wakati utafika atatubu adharani kwamba aliishi kidunia zaidi kuliko kusimamia imani? Lini ataomba toba kwa kujitaftia vyeo vya Dunia kwa ila huku akiiacha kweli?
 
Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
357
500
Kama usemavyo ni kweli basi Mch. Gwajima anazo akili za ziada kuweza kuinjinia yote hayo kwa mafanikio.

Sio vibaya kupata zawadi ya Ubunge?... Kumbe Kawe hawakupiga kura!!!!!

Maana aki transform hayo kwenda kwenye maendeleo Kawe watapaa.
 
mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
6,922
2,000
Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM.

Baada yakuingia JPM akabadilika na mwisho akaingia kwenye meza yamazungumzo na kuomba radhi Jambo lililopelekea azawadiwe Ubunge.

Kwa nafasi yake kiimani wakati anayafanya haya huko sirini aliongozwa na roho gani? Je, toba ya haya uifanya sirini au upo wakati utafika atatubu adharani kwamba aliishi kidunia zaidi kuliko kusimamia imani? Lini ataomba toba kwa kujitaftia vyeo vya Dunia kwa ila huku akiiacha kweli?
Njoo pm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom