Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli binadamu tumetofautiana sana. Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD 2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
MKURUGENZI wa Halotel, Son Nguyen(46) na vigogo watano wa Kampuni ya Viettel Tanzania, wameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini(DPP), kwa ajili ya kukiri makosa yao 10 likiwemo la...
11 Reactions
53 Replies
10K Views
Edit: Inaonekana wapinzani wenyewe dont know direction ya kisiasa ya vyama vyao kwani: 1. wanasahihisha lugha kwa typos za mwandishi (michapio) midogo midogo bila sababu 2. wanatukana mwandishi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Saalam! Toka zimefunguliwa shule za serikali kumekuwa na malalamiko pande zote za nchi kuhusu wazazi kuchangishwa michango mbalimbali hasa madawati. Wananchi wamekuwa wakihoji kuwa elimu bure...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri. Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga. Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania? Kwani...
9 Reactions
181 Replies
16K Views
Mzee wa msoga aka Jakaya aliona mbali pale alipokuwa anasisitiza ufanyaji wa semina elekezi kwa viongozi. Japokuwa mambo yalienda kombo baada ya kuonekana kuna matumizi mabaya ya ofisi. Hasa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ametoa pongezi hizo leo kupitia ukurasa wake maalumu wa Twitter Rais Magufuli amempongeza Rais Yoweli Kaguta Museveni kwa ushindi mnono huku akiahidi kudumisha undugu na urafiki uliopo kwa...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
HELLOW BODI YA MIKOPO, HAMUWEZI KWENDA NA HII? Na Elius Ndabila 0768239284 Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito juu ya hoja ya mnufaika wa Fedha ya bodi ya mkopo kutakiwa kuanza kuirejesha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KIONGOZI wa ubalozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Uganda, balozi Atillio Pacifici, ameelezea kufurahishwa na jinsi uchaguzi mkuu nchini humo ulivyopangwa vizuri na kuandeshwa katika mazingira ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni leo Januari 17, 2021 Mhesh Rais Dkt John Magufuli ameungana na Waumini wenzake na kushiriki Misa Takatifu kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Mheshimiwa...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Watanzania sio wajinga, ukija na hoja za kitoto wanakusikiliza kisa wanapima unachosema. Hakuna ubishi kuwa upinzani hapa Tanzani ulipata nguvu sababu ya makosa ya Ccm kama chama tawala kuruhusu...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
ST. Francis Girls secondary school Mbeya ina Division one za point saba 80 kati ya wanafunzi 90 darasani, Kumi waliobaki wana diviosion one ya point nane na tisa Kwa ufupi shule za wakatoliki...
15 Reactions
108 Replies
12K Views
Wanabodi tahadhima kwenu! Kwa kuwa Serikali ya Chato imehamia Dodoma kumfurahisha Nyerere kaburini, napendekeza yafuatayo. Kila mkoa kuna Ikulu ndogo ya Rais. Dar es salaam kwa sasa ni mkoa kama...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki Bob Wine wa Uganda ni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
7 Reactions
168 Replies
19K Views
Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro. Tunafeli wapi jamani? Maendeleo hayana vyama!
0 Reactions
95 Replies
13K Views
Hatari mojawapo kubwa ninayoiona iwapo tabia hii ya kupendelea Chato kunakofanywa na serikali ni kwamba tutaanza kuchagua kiongozi kutokana na uzawa! Mfano mimi ni wa Kusini, akigombea Rais wa...
67 Reactions
272 Replies
21K Views
Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom