Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini?
Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu...
USHUHUDA BINAFSI: AWAMU YA TANO NILIISHI KWA HOFU.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Nikiri wazi kuwa, licha ya kuwa mimi sio mwoga lakini siwezi ongopa kuwa sina hofu au wasiwasi. Hakuna binadamu...
Wanabodi, ni ukweli usiopingika vijana waliohitimu vyuo kati ya mwaka 2014 na 2020 wamepata elimu na wameajiriwa kila kona ya nchi hii na duniani kwa ujumla.
Bongo kama ulaya inayoonyeshwa na TBC...
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi...
1. Katiba imara na taasisi imara peke yake ndio zinaweza kuwa ukuta na vizingiti kati ya demokrasia na uimla. Sio nia njema, mazoea, mila wala tamaduni za kisiasa zinazoweza kuhakikisha uhuru...
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba...
Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9.
Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama...
Hivi hasara ya ATCL ni
1. Cumulative toka kipindi cha nyuma AU
2. Ni tangu ianze kukodisha ndege mpya toka kwa wakala wa ndege za Serikali?
NB: Tuzingatie kuwa hata kabla ya maboresho, tayari...
Wakati wa Hafla kuapishwa Makamu wa Rais mh Philip Mpango baada ya kiapo walikaribishwa viongozi wachache meza kuu kusema lolote juu ya kiongozi mpya Makamu wa Rais (pongezi).
Waziri mkuu...
Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea
Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa...
Baada ya kifo cha Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na baadaye kutenguliwa na kuteuliwa kuwa Mbunge, CCM haina uongozi wa juu na hivi sasa inategemea Dola...
Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business.
Kwa mjibu wa bwana Assad...
Members, Maisha ya Watanzania wengi ni "Hand to Mouth" yaani wanafanya kazi pesa yote inaishia kwenye kula chakula, Watanzania wengi hawana ajira rasmi na ujuzi (unskilled labor) na hawana akiba...
Mabaya ya awamu ya tano
1. Kutotoa ajira kwa watoto wa maskini walioteseka kusoma taaluma mbalimbali na mbaya zaidi hata matumaini hamna ndo maana viongozi wakuu hawasemi lolote kuhusu Hilo..hata...
Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini?
Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata...
Kwa kweli kwa kila mtu aliyemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akilihutubia Taifa kupitia social media, kuhusu madhira aliyopitia kwa miaka 5 mfululizo ya kunyanyaswa na kuteswa hadi...
Kwa kipindi cha miaka mitano asilimia kubwa ya watanzania katika ngazi mbalimbali yaani kuanzia ngazi ya wafanyakazi wa sekta binafsi , wamiliki wa sekta binafsi, wafanyabiashara, watumishi wa...
Salamu Watanzania,
Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha...
=======
Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu.
Mradi huu utatoa...
Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao.
Sina hakika kama wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.