Kwanini Waziri Mkuu hajapewa muda wa kuzungumza wakati wa hafla ya kuapishwa Makamu wa Rais? Lipoje kiitifaki?

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,176
Wakati wa Hafla kuapishwa Makamu wa Rais mh Philip Mpango baada ya kiapo walikaribishwa viongozi wachache meza kuu kusema lolote juu ya kiongozi mpya Makamu wa Rais (pongezi).

Waziri mkuu hajakaribishwa aongee ipoje kiitifaki?

Wajuvi karibuni.

Tunampenda Waziri wetu mkuu.
 
Haa😆😅😄😃😂😁😀😀
Hujajua Tu Kuwa Alikuwa Mbele Lakini Hana Uzito Tena Mpaka Ateuliwe Tena
 
Wasitafu walikaribishwa kuongea/sauti itakua ilikauka mzunguko ule ulikua mkubwa kulia ......
 
Mihimili Mkuu Mitatu ya Serikali
(Utawala/Serikali,Bunge na Mahakama)

Waziri Mkuu Ni Sehemu ya Serikali.
Kama Raisi Kaongea,Makamu wa Raisi Kaongea,Spika Wa Bunge Kaongea,Binafsi Hata Ingekuwa Mimi Nisingeona Haja ya Yeye Kuongea.
Kikubwa Alitambuliwa Uwepo Wake Kiitifaki.
 
Vizuri kabisa mkuu
 
Anachopaswa kufanya yeye Ni kujiuzulu .

Kwa Sasa anaonekana Kama anawawekea kiwingu

Ajiuzulu ajikalie.zake pembeni

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usipende ligi..imeelezwa na yule nilimquote.. Spika na Waziri Mkuu,Rais au Makamu wa Rais ni mihimili tofauti.
Sio ligi ni kueleza kiitifaki ilivyo hukuona jana mpaka speaker anaisoma katiba bungeni alipotaka makamu wa Rais mteule atoe neno kidogo kabla hajatoa kura Wengi wakasema atoe kwanza ndipo aongee lakini katiba haipo hivyo

Hivi vipo kikatiba mkuu
 
Swali lako halikuwa la kikatiba bali itifaki..na KMMS alishalijibu kwa ufasaha kabisa.
Kwaheri.
 
Back
Top Bottom