"Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
INASIKITISHA sana kuona WAZIRI Kigwangalla akitumia MUDA wake ndani ya BUNGE leo kunichafua, kunidhihaki, na kusema UONGO na UZUSHI dhidi yangu, ikiwa ni NJAMA za makusudi zilizopangwa kunichafua...
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.
Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake...
Wanabodi,
Katika uendeshaji wa siasa zetu, tumewahi kuaswa mara nyingi tuu kuwa tusichanganye dini na siasa.
Sisi Wakristo tumefundishwa na Bwana Wetu Yesu Kristo kuwa " Mpeni Mungu Yaliyo ya...
Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa...
Mageuzi ya tabia na taasisi mpya
Katika miaka ya 1950 na 1960, mapinduzi ya kitabia yanayosisitiza utafiti wa kimfumo na kwa ukali wa kisayansi juu ya tabia ya mtu na kikundi ulifagia nidhamu...
Naomba nitumie fursa hii kama kijana nami kutoa ya moyoni hasa kuhusiana na kinachoendelea.
Imefika wakati sisi kama vijana tutafakari kwa kina mstakabari wa nchi yetu na tuepukane na sera za...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020.
Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania?
Hivi viongozi wa nchi hii...
Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Akizungumza...
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani.
Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya...
Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji.
Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi.
Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine.
Ni...
Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo.
Ubambikaji kodi
Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki.
Kufungia biashara.
Hawezi...
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL, kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato...
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli.
Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote...
Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na...
Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe
Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari...
U-turn signals za Rais wa kambo wa JMT zimesababisha mawimbi ya unafiki kutamalaki miongoni mwa viongozi wanaotokana na chama tawala (CCM)!
U-turn signals alizotuma Rais wa kambo bila shaka...
Ebu eleza vyema hapa, ni kitu/jambo gani ambalo limewahi kufanywa na mwanasiasa (bila kujali chama) au Kiongozi yeyote Mwandamizi Serikalini na likakukera sana.
Karibuni mfunguke hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.