Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini?
Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata mkiwapeleka mahakamani waliokuwepo watamtupia lawama marehemu si mahakama si wahusika wote aliwaweka kwenye henga na akiwabadilisha pale tu anapoona interest inahatarishwa,tumeona akina CAG aliepita aliondolewa kimazabe ili kazi iendelee.
Sasa inaposemwa kazi iendelee haijulikani kazi ipi maana Bwana Yule alikuwa na kazi nyingi.
Niwatakeni watanzania kila zuri tulichukuwe na kuliweka sawa na mabaya yaachwe naye, kwa upande wangu najivunia kuwa tuna ndege za kisasa, tuna treni ya kisasa na pia miundo mbinu inayoelekea kuwa ya kisasa, hata hizi ndege tunaweza kufanya safari ya India Dubai China japo mara mbili kwa mwezi mbona itapendeza, tunaenda china mara mbili kwa mwezi, hivyo hivyo kwa India dubai na Thailand, kote huko ni mageti ya wafanya biashara, sio lazima ndege iwe na safari za kila siku. hata Italy kuna watalii wengi tu kutokea Italy wiki mara moja itapendeza na nauli iwe bei ya chini kabisa kuliko nauli za ndege za Ethiopia.
Wacheni kulalamika wakati shahidi namba moja hatunae tena na wala harudi mpaka kiyama!