Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Hivi hasara ya ATCL ni
1. Cumulative toka kipindi cha nyuma AU
2. Ni tangu ianze kukodisha ndege mpya toka kwa wakala wa ndege za Serikali?
NB: Tuzingatie kuwa hata kabla ya maboresho, tayari ATCL ilikuwa inajiendesha kwa hasara. Na haikuwahi kuwa bankrupt, ili tuanze upyaaa.
Halafu tuangalie hii kitu vizuri.
1. Wakala wa ndege za serikali kanunua ndege ili azikodishe ziingizie Serikali mapato, right!
2. ATCL amezikodisha kwa maana anatakiwa azi operate kwa faida na kumlipa wakala wa ndege za serikali. Sasa kwa nini ishindwe kutengeneza faida kama ilijipanga vizuri kabla ya kukodisha? Maana hata kabla ya kukodisha za serikali, bado ingekodisha toka shirika lingine - je huko napo ingeomba muda wa miaka mingapi kutengeneza faida?