The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,667
Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9.
Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa. Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo.
Faida zake ni nyingi mno kulingana na matumizi yake mnayotaka. Kwenye suala la gharama za bando hili
Linaweza kabisa kutusaidia kupunguza gharama.
Tumshinikize Mama Samia hili lipewe kipaumbele. Tanzania Satellite irushwe angani ndani ya mwaka mmoja kutoka sasa....
Wajuzi zaidi mnaweza changia pale ambapo siko sahihi