Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,141
2,000
Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao.

Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni tia maji tia maji ubunge wao hausomeki sawasawa.

Kwa sasa CCM hali tete pale bungeni kwa sasa hawamuogopi Dkt. Bashiru wala Polepole wabunge wa CCM wanaikataa miradi ya chama chao iliyo ilani wazi wazi. Yaani ni kama kambale.

Mambo yanaenda kasi sana.

Nampongeza pia mbunge wa Tunduma na Suzan Kiwanga.

Niishie hapo.
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,225
2,000
😅😅😂😂🤣🤣 tuma salam kwa...
Lijualikali na kina Nassari unawaambiaje!?

Everyday is Saturday................................:cool:
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Kijogoodi

Senior Member
Mar 29, 2021
181
500
Profesa Assad ambaye hana impact hata kwenye ukoo wake alafu anapimana ubavu na mtu mwenye legacy ya 1000 ijayo.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
42,532
2,000
Kwa kweli acha Lumumba wacheleweshe posho yako ya March uendelee kutema madini mkuu
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom