Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business.
Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash.
Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa biashara hii ya anga.
Tunataka kujua, Je, manunuzi ya cash, yanaweza kusababisha vipi shirika kupata hasara?
Unadhani kwamba, ndege zikinunuliwa kwa mkopo, zinaweza sasa kuleta faida kibiashara? Toa mfano wa shirika ambalo lenyewe hufanya manunuzi yake Kwa mkopo na linapata faida.
Je, hasara za kununua Cash zikoje?
Je, faida za kununua Kwa mkopo zikoje?
Na Kwa kuwa serikali yetu Bado inampamgo wa kununua ndege nyingine, kwa mawazo na ushauri wa kitalaamu, pengine tunaweza kuwasaidia sana ili kuepuka hasara hizi.
Na pengine hata zile ndege ambazo zilikuwa Kwenye Oda tayari, Kwa ushauri wako, Bado serikari inaweza kughairi.
Maana ni mhimu kufahamu pia katika hili, unaweza kuta ukiwa unanunua ndege Kwa mkopo, shilika ulilonunulia nalo linaweza kuingia kusaidia namna nzuri ya kupata wateja ili mteja wake apate pesa haraka za kulipa mkopo wake.
Karibuni
Majibu tukiyakosa, Tumpuuze CAG mstaafu.
Tunachotaka kujua, tuonyeshe faida za kiuendeshaji Ikiwa mtu atakopa na Kwenye kulipa cash