Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SIKUWA MJINGA, NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO NDUGAI AMEJIBU. Na Yericko Nyerere Job Ndugai mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala Tanzania, ananirejesha...
40 Reactions
112 Replies
12K Views
Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya. Aliikataa bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta utaanza mwezi Aprili na sio Julai kama ilivyopangwa awali Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanajamvi, picha huongea mengi. Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii. Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani? Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala...
40 Reactions
183 Replies
18K Views
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli. Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimefuatilia hotuba za mgombea wa ccm toka siku ya kwanza ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani nimegundua ni mtu makini na anayefuatilia mambo. Nimegundua ni mtu anayejiandaa kabla ya kuingia...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure . yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihojiwa na Charles Hilary juu ya matumizi makubwa nje ya Bajeti au kuidhinishwa na Bunge kama mkaguzi anasemaje. Amejibu sheria inataka kama kuna matumizi ya ziada ilitakiwa kuwasilishwa...
46 Reactions
283 Replies
41K Views
Nimeisoma kweye facebook page ya Zitto
0 Reactions
3 Replies
2K Views
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?. Na Bashir Yakub. Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah “Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema: “Maneno ya haki...
38 Reactions
47 Replies
5K Views
Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017. Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja. Humu JF...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Kufuatia hili sakata la Bunge na CAG, nitakuwa nawaletea makala za uelimishaji kuhusu Katiba, mimi nikijiweka kwenye mtazamo wa mtunga katiba alidhamiria nini kuweka kipengele fulani...
106 Reactions
130 Replies
19K Views
Wanabodi,Mambo ya "SHIKWAMBI " " " au shinda kwa mbinu" iwe mvua au jua tumewaonyesha upinzani . Kila jambo na wakati wake na kila zama na zama zake.Huu ni wakati wa sisi wana ccm kula bata na...
1 Reactions
3 Replies
612 Views
Mbunge wa Mbongwe, Nikodmus Maganga ameshuri ni vyema serikali ikajikita kwenye miradi ambayo itafaidisha wote tukiwa bado wakiwa hai Ametolea mfano mradi wa ujenzi wa reli ya SGR kuwa ni ghali...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Jana tarehe 7.4. 2021, Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
JNHPP KUIFANYA TANZANIA KINARA KATIKA KUZALISHA UMEME AFRIKA MASHARIKI Umeme wa maji (Hydropower) ndio chanzo namba mbili cha nishati ya umeme katika nchi za Marekani na China. Maendeleo Duni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili. Ajira za Maprofesa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini? Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
USHUHUDA BINAFSI: AWAMU YA TANO NILIISHI KWA HOFU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Nikiri wazi kuwa, licha ya kuwa mimi sio mwoga lakini siwezi ongopa kuwa sina hofu au wasiwasi. Hakuna binadamu...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanabodi, ni ukweli usiopingika vijana waliohitimu vyuo kati ya mwaka 2014 na 2020 wamepata elimu na wameajiriwa kila kona ya nchi hii na duniani kwa ujumla. Bongo kama ulaya inayoonyeshwa na TBC...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
Back
Top Bottom