Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na amepokelewa na Waziri Mkuu Mhesh Kassimu Majaliwa pamoja na Viongozi...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Hayo maneno manee ya kwanza katika kichwa cha mada hii sio mageni kwetu, na wala sitopenda kuyaandikia kwa kirefu juu yake. Haya manne niliyoongeza mimi, hata kama yanafanana na yale ya mwanzo...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Uchaguzi umekwisha kwa namna yake ya ajabu ambayo kila mmoja ameondoka na moja kichwani. Kwa aina ya Rais tulie naye ambaye ni king'ang'anizi na hana mjadala kwenye aliloamua, tunajua fika baada...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa naulizwa Sana kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chetu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Nimekuwa kimya Kwa sababu tumepokea Taarifa za uteuzi kutoka katika vyombo vya Habari...
12 Reactions
117 Replies
22K Views
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo...
6 Reactions
95 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea ameshauri Wizara ya Maji kutengeneza Sera itakayowafanya Watanzania wawe na tabia ya kuvuna maji ya mvua Akichangia katika Bajeti ya Wizara ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao. Natanguliza shukrani.
24 Reactions
140 Replies
14K Views
Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya...
3 Reactions
5 Replies
987 Views
Kipindi cha Uspika wake ndugu Samwel John Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni Mwake Urambo ( Sijui huyu alikuwa anawaza nini) 1. Je Haukuwa Ubadhirifu wa Mali ya Uma ukizingatia sasa hivi ile...
6 Reactions
192 Replies
26K Views
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Wakati St. Judy inapitia matatizo juu ya madeni Hadi kufikia wanafunzi kugoma na wafanyakazi kurejeshwa nyumbani Mrisho Gambo hakusema lolote Wala akuwatetea kwa chochote. Leo hii baada ya hali...
22 Reactions
41 Replies
4K Views
Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa? Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa...
3 Reactions
100 Replies
9K Views
Ndugu Wana jamvi nimetafakari sana hatma ya nchi yetu endapo CCM itashindwa kusimamia majukumu yake hususani rasilimali za nchi yetu,hii ni kutokana na ukweli kwamba vyama vya upinzani naona...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka...
6 Reactions
77 Replies
7K Views
Wakati hotuba za Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alizozitoa nchini Kenya zimeibua mjadala mitandaoni ikielezwa zimeleta matumaini na kujawa hekima, busara na haiba, leo anatarajiwa...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni. Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili...
18 Reactions
197 Replies
14K Views
Rais wetu huyu mpya majuzi katangaza kuwa ataunda sijui kamati ya Corona. Bado sijaelewa hasa lengo na madhumuni ya hiyo kamati yatakuwa ni yepi. Sasa ni zaidi ya mwaka na ushee tokea dunia...
11 Reactions
130 Replies
9K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri...
18 Reactions
219 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…