Kitakachowaondoa akina Halima Mdee ni "jinai" ya wao kuingizwa Bungeni siyo suala la Uanachama wao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,719
141,581
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni.

Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge Mh Job Ndugai.

Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza Bungeni basi akina mama hawa ni hatari kwa usalama wa nchi yetu na haya mambo baba wa taifa aliyakemea sana.

Suala la mihtasari kwenye kosa lililo wazi ni mambo ya kijima.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
 
Hahahahahahahaha

Kweli wazee wa Dar wabalikiwe.

Mimi ninachokiona hapo,hao akina mdee wameshanunuliwa hivyo Mnyika na mwenyekiti wake wajipange kisaikoloji.

Lasivyo usikute ndio wameshaihama Chadema hivyo.

Hao wamama wangekua wazalendo na chama wangeshajitoa kitaambo huko bungeni.

Na nakumbuka walionywa kabla hawajaenda, sasa ikawaje wakaenda,walipata wapi ujasili wa kukaa bungeni kinyume na sheria!!

Hapo kama waliamini mdee ndio mama shujaa chadema waanze kuzoe kua anaweza asiwe wa kwao tena Chadema.
 
Kina Mdee hawawezi kughushi barua,!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
Kwa yale aliyomfanyia askofu Gwajima kule Kawe wakati wa uchaguzi Halima Mdee anaweza kufanya "chochote" chini ya hili jua.
 
Spika atawalinda, hawachomoki.​

20210507_142300.jpg
 
Halima na wenzake wamekata rufaa ya kufukuzwa uanachama na cdm.

Maana yake ni kwamba Halima na wenzake sio wanachama wa Cdm unless chama hicho kibatilishe maamuzi yake.

Kwa msingi huo Halima na wenzake wanatenda kosa kwa MAKUSUDI kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge.

Suala hili ni la kuwahoji Halima na wenzake. Kwanini wanahudhuria vikao vya Bunge ilhali wanaelewa kuwa wao sio wanachama wa chama cha siasa.
 
Kina Mdee hawawezi kughushi barua,!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
Kwanini tume haitaki kujibu barua ya chadema?
 
Hahahahahahahaha
Kweli wazee wa Dar wabalikiwe.

Mm ninachokiona hapo,hao akina mdee wameshanunuliwa hivyo Mnyika na mwenyekiti wake wajipange kisaikoloji.

Lasivyo usikute ndio wameshaihama chadema hivyo.

Hao wamama wangekua wazalendo na chama wangeshajitoa kitaambo huko bungeni.

Na nakumbuka walionywa kabla hawajaenda ,sasa ikawaje wakaenda,walipata wapi ujasili wa kukaa bungeni kinyume na sheria!!

Hapo kama waliamini mdee ndio mama shujaa chadema waanze kuzoe kua anaweza asiwe wa kwao tena chadema.
Njaa inaponza makalio bro
 
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni.

Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge mh Job Ndugai.

Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza Bungeni basi akina mama hawa ni hatari kwa usalama wa nchi yetu na haya mambo baba wa taifa aliyakemea sana.

Suala la mihtasari kwenye kosa lililo wazi ni mambo ya kijima.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Sasa mnalumbana CCM kwa CCM
 
Kina Mdee hawawezi kughushi barua!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
CCM endeleeni kulumbana wachawi wakubwa nyinyi
 
Kina Mdee hawawezi kughushi barua!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
Kwa hiyo unataka kusema Nusrat akiwa jela na kutolewa usiku lilifuata utaratibu wa Mbowe mwenyewe mpaka na kupeleka barua usiku wa manane NEC ili kesho yake spika amuapishe?
 
Back
Top Bottom