Nini Hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Nov 6, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kipindi cha Uspika wake ndugu Samwel John Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni Mwake Urambo ( Sijui huyu alikuwa anawaza nini)

  1. Je Haukuwa Ubadhirifu wa Mali ya Uma ukizingatia sasa hivi ile ofisi haitumiki?

  2. Je itakuwa ni Busara kwamba Bunge liweke kigezo cha Kuwa Mbunge wa Urambo kama kimojawapo cha mtu Kugombea nafasi ya Spika ili ile ofisi iwe inatumika?

  3. Nini Hatima ya ile ofisi je itumike kama Kituo cha afya?

  Wapambe wa Sitta akina Malaria Sugu, FaizaFoxy, rizt, Rejao pamoja na kutambua kwamba Mgao wa Vocha Umepungua naamini mtapata nafasi ya kuja kutoa Mawazo yenu pia.
   
 2. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Jamani hii nchi haiishi viroja

  Yaani ofisi ilijengwa Urambo? Kwa kweli hili ni jipya kabisa masikioni mwangu na bila shaka jamaa alidhani atakuwa Spika wa kudumu

  Yaani ni wizio mtupu huu, hata ukipakwa rangi gani bado utabakia kuwa wizi na kushindwa kujua vipaumbele vya taifa
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu uko Nchi gani wewe? Mzee Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni mwake mpaka leo sijui huyu Mzee alikuwa anafikiri nini, lakini ndivyo Viongozi wa Afrika walivyo maana hata Gaddaffi alijenda Makao makuu ya AU kjiji kwao Siirte
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hebu tuondoleeni utata ili tuanze kuchangia!ile ni ofisi ya mbunge ama ya spika maana naskia kuna utata juu ya hilo?
   
 5. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2013
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 7,434
  Likes Received: 2,931
  Trophy Points: 280
  Mwishoni mwa uspika wa Samwel Sitta, serikali ilijenga ofisi ya spika wa bunge Urambo Tabora ambako ni jimboni kwa spika wa wakati huo mheshimiwa Samweli Sitta. Maswali yangu ni haya:

  1. Samweli Sitaa siyo spika tena. Je anaitumia ofisi hiyo au hapana? Na kama ndio anaitumia kama nani na kwa shughuli z
  zipi?
  2. Spika wa sasa Anna Makinda ameshaitumia ofisi hiyo mara ngapi? Na kama haitumii ni kwanini?!
  3. Je utaratibu wa kujenga ofisi kwenye kila jimbo analotoka spika utaendelea?
  4. Je ilikusudiwa Sitta awe spika wa kudumu mpaka kufa kwake?
  5. Kama ofisi hiyo haitumiki na spika aliyepita na aliyepo ni ya nini? Inafaa kuendelea kuwepo? kwanini isigeuzwe darasa
  shule au ghala la kuhifadhia asali?

   
 6. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hizi siasa ngumu sana kuzielewa ndugu yangu. Mi nilienda Urambo mwaka 2010 nikaikuta hiyo ofisi cha kushangaza hakuna activity zozote zinazoashiria kuwa hiyo ofisi iko active.
  Ilikua ni bad expenditures kwa government kujenga hiyo ofisi. Maswali yako ni ya msingi sana kwa upande wa pili wa shilingi. Wasiwasi wangu ni kwamba haya maswali hata yakipelekwa bungeni hakuna majibu ya msingi yatakayotolewa. Tugange yajayo
   
 7. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  By the way Sitta mwenyewe sijui hata kama amendaga huko kwao.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2013
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Naomba kujuzwa ofisi hiyo ilijengwa kwa fedha zipi!...je iliwekwa kwenye bajeti ya Bunge au ni fedha za mfuko wa jimbo?
   
 9. Mtingaji

  Mtingaji JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2013
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 1,217
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  SITTA anatamani urais, hivyo akiupata "urahisi" atajenga Ikulu pembeni mwa hiyo ofisi. Kisha atatatangaza Tabora ndo Mji Mkuu wa nchi!

  Sitta bado anatapatapa baada ya kuangukia pua kwenye uspika!
   
 10. Simiyu Yetu

  Simiyu Yetu JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 18,897
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  Hoja zingine majibu yake yanahitaji kutulia na kuwahusisha wahusika.
   
 11. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2013
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 7,434
  Likes Received: 2,931
  Trophy Points: 280
  Ni wazi ni pesa za serikali kutoka hazina, inaweza kuwa kupitia bunge kwani hata hizo za mfuko wa jimbo ni za serikali. Kwa ufupi ni kuwa imejengwa na serikali ambayo vyanzo vyake vikuu vya mapato ni kodi inaliyopwa na wananchi na misaada kutoka nje
   
 12. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2013
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  Ushahidi mwingine kuwa hawa wangine tunawachekea lakini nao ni hatari, yeye alijua atadumu kwenye usipika kama Chifu Adamu Sappi Mkwawa! Na haya yote yalifanyika mbele ya macho ya maccm bila hata kutia neno!
   
 13. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2013
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160

  Rais Jakaya Kikwete atembelea Urambo na Ofisi Mpya ya Mbunge na Spika wa Bunge Samwel Sitta iliyogharimu Millioni 170

  [​IMG]Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuzindua rasmi Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki. Aliyesimamam ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta.

  [​IMG]Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki Mhe. Samuel Sitta (Kushoto) ambaye pia ni Spika wa Bunge. Ofisi hiyo imeghrarimu jumla ya Tsh 170 Million, ikiwa ni mpango wa serekali kujenga ofisi za wabunge katika kila majimbo yote nchini.

  [​IMG]Rais Jakaya Kikwete akikagua Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki mara baada ya kuizindua rasmi mjini Urambo. Kulia kwake ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta. Ofisi hiyo imeghrarimu jumla ya Tsh 170 Million, ikiwa ni mpango wa serekali kujenga ofisi za wabunge katika kila majimbo yote nchini.

  [​IMG]Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki Mhe. Samuel Sitta ambaye pia ni Spika wa Bunge akiwakaribisha waheshimiwa wabunge mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege Urambo kuhudhuria ufunguzi rasmi wa Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki. Kushoto ni Mbunge wa Mafia Mhe. Abdukarim Shah.
   
 14. k

  kashaulili Member

  #14
  Oct 11, 2013
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Focus on issue not personality
   
 15. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2013
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,212
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
   
 16. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Tunampango wa kuigeuza na kuwa ofisi ya CCM wilaya!!
   
 17. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2013
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,212
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  How can you differentiate a person and the Issue in subject! Unless your joking or LB7
   
 18. Mount Kibo

  Mount Kibo JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2013
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 1,902
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hii inji lika mtu anajiamulia la kufanya kwani ni kama shamba la bibi hasa ukiwa mwanaCCM!inji hii imekuwa shamba la bibi ila nadhani mwisho wa haya unakaribia naona kama si mbali sana inji itakombolewa
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2013
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Nadhani Sitta atakuwa kafunga A.C. kama kumi hivi. Anatoka jasho balaa
   
 20. p

  pembe JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nimeona ni ofisi ya mbunge sio ofisi ya spika. Kisheria ofisi ya spika ni bungeni dodoma na ofisi ndogo jijini DSM. Ofisi yake ni ya gharama sana ya Membe pale Mtama ni nusu ya bei!
   
Loading...