Salaam Wakuu,
Leo chama cha cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) , kinazindua Kampeni zake Manzese Dar Es Salaam.
Leo Asubuhi Mgombea Urais wa CHAUMA aliwalalamikia TAKUKURU kwa kumzua kupika Ubwabwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo.
Taarifa zaidi kutolewa
========...
Kwa miaka kadhaa vyombo vya habari viliminywa mdomo na vikakubali kuminyika kiasi kwamba hata dira ya dunia ya kina Kikeke makeke yalipungua
Leo nimepata fursa ya kumsikiliza Esther Matiko...
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji...
Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.
Kuna hao...
Serikali imesimika mitambo ya kufua hewa tiba (oksijeni) katika hospitali za rufaa za mikoa saba Tanzania.
Kusimikwa kwa mitambo hiyo kunajibu changamoto za wataalamu wa afya ili kuwahudumia kwa...
Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji.
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu...
Huwa nachukia sana ninaposikiliza viongozi wetu wakitumia cheap propaganda na kutamba juu ya mafanikio yao kwa kujilinganisha na viongozi waliopita. Kwa mfano, mara kadhaa nimesikia tamko kwamba...
Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na...
Nimejaribu kuangalia jinsi Nyalandu alivyojipanga na hii kasi ya kutia Nia lakni naona makada wapo kimya sioni ata comment hasa kwa wabunge wa Chadema na makada wengine wakongwe
CHADEMA kina...
Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "
Maana yake alichanganya...
Awamu za serikali zilikuwa na malengo tofauti, mfano wakati wa Mwl. Nyerere vyombo vya habari vilikuwa ni vya ku-promote siasa za ujamaa na kujitegemea hakukuwa na vyombo huru kulikuwa na vyombo...
Kuna chama kinaitwa Chama Cha Walimu ni ugonjwa sugu unaotafuna walimu ambao wengi wao wamejikatia tamaa.
TAKUKURU kama kuna uchunguzi wa kina unatakiwa ufanyike ni katika Chama hiki cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kijeshi mjini Riyadh, Saudi Arabia, asubuhi ya leo, Jumapili, Januari 25, kuhani kifo...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema inasikitisha kuona bado kuna Wakurugenzi na watumishi wa umma wakiendelea kufanya kazi kwa mazoea.
Ummy ametolea mfano wakurugenzi wa Kilindi, Uvinza na...
Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani...
Kiukweli si kawaida sana kwa sisi wanaume wa Pwani ambao tulipelekwa jando na kufunzwa na Mababu zetu kumkuta mtoto wa kiume anaongea sana kama Kasuku.
Nimesikitishwa na maneno ya hovyo na tuhuma...
Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Tarehe 01 Mei 2021, Kanisa Katoliki Duniani lilisherehekea sikukuu tatu kwa mpigo. Kuna kumbukizi ya miaka 130 ya waraka wa Papa...
Leo nimeamka nikitafakari kuhusu mwalimu wangu Dk. Bashiru Ally. Tafakuri imenipeleka mbali hadi mwaka 2011, nikiwa mwaka wa tatu wa shahada yangu ya kwanza pale UDSM. Nyakati hizo nilikuwa...
Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.