Zitto Kabwe azungumzia uteuzi wa M/kiti wa ACT-Wazalendo, mama Anna Mghwira kuwa mkuu wa mkoa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
Nimekuwa naulizwa Sana kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chetu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Nimekuwa kimya Kwa sababu tumepokea Taarifa za uteuzi kutoka katika vyombo vya Habari.

Mwenyekiti yuko nje ya nchi na kutokana na tofauti za masaa bado hatujawasiliana nae. Tutatoa tamko kamili atakapokuwa amerejea nchini.

Ninawataka wanachama wote wa Act Wazalendo wawe watulivu na Kama kuna masuala yanayohusu maamuzi ya vikao vya Chama tutawajulisha.
Aliyeteuliwa ni Mwenyekiti wa Chama Taifa, sio mshauri au mwanachama tu.

Ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chama chetu. Uteuzi wake unahitaji kikao cha Kamati Kuu ya Chama kukaa na kujadili.

Nitaweza kutoa Taarifa baada ya vikao vya Kamati Kuu ya Chama. Kwa sasa umma usubiri vikao Kwa mujibu wa Katiba ya Chama chetu.

======

Nimekuwa naulizwa Sana kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chetu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Nimekuwa kimya Kwa sababu tumepokea Taarifa za uteuzi kutoka katika vyombo vya Habari.

Mwenyekiti yuko nje ya nchi na kutokana na tofauti za masaa bado hatujawasiliana nae.

Tutatoa tamko kamili atakapokuwa amerejea nchini.

Ninawataka wanachama wote wa Act Wazalendo wawe watulivu na Kama kuna masuala yanayohusu maamuzi ya vikao vya Chama tutawajulisha.

Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto,Mb
Kiongozi wa Chama
 
Nimekuwa naulizwa Sana kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chetu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Nimekuwa kimya Kwa sababu tumepokea Taarifa za uteuzi kutoka katika vyombo vya Habari. Mwenyekiti yuko nje ya nchi na kutokana na tofauti za masaa bado hatujawasiliana nae. Tutatoa tamko kamili atakapokuwa amerejea nchini.
Ninawataka wanachama wote wa Act Wazalendo wawe watulivu na Kama kuna masuala yanayohusu maamuzi ya vikao vya Chama tutawajulisha.
Aliyeteuliwa ni Mwenyekiti wa Chama Taifa, sio mshauri au mwanachama tu. Ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chama chetu. Uteuzi wake unahitaji kikao cha Kamati Kuu ya Chama kukaa na kujadili. Nitaweza kutoa Taarifa baada ya vikao vya Kamati Kuu ya Chama. Kwa sasa umma usubiri vikao Kwa mujibu wa Katiba ya Chama chetu.
Kwa hiyo zito hakua na taarifa yeyote?Halafu raisi wetu mpendwa akiwa unguja aliwahi kusema kamwe hatachagua upinzani nini kimempata?

Kwa ni mh rais amefanya u-turn na kuanza kushirikiana na chama cha Zito?Ngoja tuone sera za Act + ccm zikileta Viwanda!
 
Njaa zitaiua ACT. Hivyo vyama vinavyoanzishwa na CCM kila kukicha kwa madhumuni ya kugangia njaa vinarudisha nyuma maendeleo ya demokrasia katika nchi yetu.
Sina uhakika kama kilikuwa na upimzani wowote kilijulikana mapema sana
 
Mwenyekiti wa chama cha upinzani kinachopambana kutwaa dola anateuliwaje kuwa mkuu wa mkoa ambapo jukumu kuu ni kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa na pia atapokea maelekezo ya kazi kutoka kwa rais? Hiyo ni dhihaka na wala hakuhitaji kikao cha kamati kuu kufanya uamuzi!
 
Back
Top Bottom