Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mei 3 ni siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambapo serikali ya Tanzania imesema inawahakikishia kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hata hivyo serikali imesisitiza jukumu la kuweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Chadema walisisia matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka 2020 wakaahidi kutoshiriki uchaguzi wowote siku zijazo. Ingekuwa busara waendelee na shughuli nyingine waachane na siasa kwani...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
"Jahazi hili, upepo uwe mwingi, upepo uwe mdogo, jahazi hili lazima likate mawimbi hili safari ifike." Mhe. Rais Samia. Dereva wa lori, Mungu amrehemu, nae alisema anatupeleka kwenye nchi ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
- Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B), Ukitoa kupanda na...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Mchakato wa kuanzishwa somo la historia ya Taifa letu umepingwa sana na wafuasi wa vyama vya upinzani hapa nchini. Inashangaza kwa Raia kutotaka kujua historia ya Taifa lake. Jambo la...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Seychelles[emoji1213](96.73) 2. Egypt[emoji1093] (88.39) 3. Libya[emoji1149] (82.97) 4. South Africa [emoji1221] (79.34) 5. Mauritius[emoji1164] (79.12) 6. Tunisia[emoji1249](70.57) 7...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazungu waliendelea na kukusanya mitaji kwa kuvunja haki za watu wengi sana, na wanaendelea kuvunja haki za watu ili kuendeleza maendeleo yao na mitaji. Wachina, Warusi, Israel, Mzee Kagame na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwenu, Nimekuwa nikifuatilia sana tabia za wanasiasa wa Tanzania hasa wanaCCM. Toka enzi za akina Mrema wa NCCR-Mageuzi,kisha TLP lakini akionesha bayana kuwa moyo wake uko CCM,Nsanzugwako,Wasira...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nchi kubwa kama Tanzania na yenye watu ZaidI ya makadirio ya m60 hitaji lake kubwa sio kuwafurahisha watumishi wa umma kwa kuwaongeza Misharaha Bali nchi kama Taifa Tunaitahitaji Miundombinu Bora...
21 Reactions
78 Replies
6K Views
Hello our leaders, Here is an open letter to you. We really like our country to be rich. Here are some ways to make our country rich. How to Make a Country Rich Most of what we call...
3 Reactions
0 Replies
855 Views
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli Nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpya Samia...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
WAKIMBIZI wa Sudan Kusini wanaoishi katika kambi ya Nyumanzi iliyopo katika mpaka wa Uganda na nchi hiyo, wamemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli na Watanzania wote kusaidia kurejesha amani...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Mh.Makamu wa Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano! Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake! Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako? Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya...
24 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu pamoja na nia nzuri ya Rais ya kupandisha watumishi vyeo ila kwa Mkoa wa Daresalaam kuna shida kubwa katika zoezi la Upandishaji vyeo. Hili tatizo linatengenezwa na Maafisa Utumishi kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Uchumi wa nchi umeshuka, katika kutafuta vyanzo vipya vya kodi nashauri Wabunge wawe wanakatwa kodi kwenye mishahara na posho zao wanazopata ( seat allowance)! Wabunge ni watumishi kama watumishi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom