Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli tangu zamani za hayati Mkapa nchi yetu imejaa tuhuma na kutuhumiana wizi,ufisadi na ufujaji. Jambo la ajabu hakuna hatua za makusudi wamewahi kufanywa zaidi ya wachache tu kupewa...
0 Reactions
8 Replies
833 Views
Naomba ku-declare interest. Mimi binafsi nampenda na kumkubali Sana Mama Samia hivyo kwa nguvu na uwezo nilionao sitakubali hujuma yoyote kwake. Nchi inaendeshwa kwa Kodi, hivyo kauli ya mama...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibuni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika soko la ushindani huwa mzalishaji anaangalia nini mlaji anataka na huyo mzalishaji uzingatia hicho na kukileta sokoni na hapo huwa anapata kitu kinaitwa supa au abnomal profiti, yaani faida...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa...
22 Reactions
79 Replies
6K Views
Miaka ya 2016 hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara lakini hakuna matokeo chanya yaliyoonekana. Leo tena Rais Samia amesema iundwe bodi ya mishahara, hivi watumishi hamuoni hii ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli...
14 Reactions
113 Replies
11K Views
Mama Samia kaingia na staili nzuri ya kuweka mambo wazi na si kuficha ficha kama ilivyokuwa kawaida ya mtangulizi wake. From word go mwaka 2016, uchumi wa Tanzania ulianza kutikiswa kwa matumizi...
5 Reactions
5 Replies
989 Views
Rais wetu mama Samia anapenda kusema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja?, lakini kimatendo tunaona utofauti , mama kafanya mabadiliko kuanzia serikali yake hadi kwenye sekretari ya chama, tumeona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto imeanza kuandaa muswada wa sheria itakayosimamia uvunaji viungo vya binadamu zikiwemo figo, maini, moyo na mapafu ili vipandikizwe kwa...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Mahakama ya wilaya ya Mkoa wa Arusha imemwachia huru mfanyabiashara Maarufu wa madini ya Tanzanite jiiini Arusha Lucas Mdeme(46) na mwenzake Nelson Lyimo(58) waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO. Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba. Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hotuba za wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu. Wanasoma hotuba Kama hizi kwa mara ya Kwanza toka mwaka 2016 ndoto zakuandika uhalisia wa...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakati nikiwa mdogo enzi hizo niliamini kabisa katika kupewa kitu bila kudaiwa na mtoaji hasa pale mtoaji anapokuwa na uwezo ki uchumi Hii imani niliijenga kwa sababu ndugu zetu waliobahatika...
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Viongozi na watendaji walioshiriki kuumiza na kunyanyasa watu kwa sababu ya madaraka na kumlinda kiongozi bado wanaamini Mungu akuwaona? Je bado wanakula mema ya nchi Kama walivyotegemea au...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Baraza la wanawake mkoa wa Mbeya , limetishia kuhamasisha maandamano ya wanawake nchi nzima kulishinikiza bunge kuwaondoa Bungeni, wabunge 19 wa viti maalumu wanaodaiwa kutokana na CHADEMA...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
*UBALOZI WA MAREKANI, MBONA KWENYE HILI LA RAIA WENU KUINGIA TANZANIA AKIWA NA CORONA MMEKAA KIMYA?.* Jana raia mmoja wa Marekani mwenye umri wa miaka 61 ambaye ni mfanyakazi wa Ubalozi wa...
16 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Back
Top Bottom