Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.
Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za waafrika huwa wanataka kumuua na kummaliza kiongozi yoyote anayelinda na kutetea mali za Waafrica.
Tazama Samora Machel wa Mozambique alivyouwawa kisa tu analinda na kutetea mali za taifa lake!
Kwa Africa ili uwe rais wa kudumu lazima uwe kama Ali Bongo Ondimba, rais wa Gabon.