Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya...
Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka...
HOTUBA YA TAASISI ZA KIHABARI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2021 JIJINI ARUSHA, TANZANIA
Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
Akitoa salamu zake mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza...
Na Woinde Shizza, ARUSHA
WAKULIMA wa mazao mchanganyoko katika mikoani ya Manyara na Arusha wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan (SSH) kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa CCM...
Wanabodi,
Mei 3 kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya kusherehea siku ya Uhuru wa Habari, Media Freedom Day, ambapo hapa nchini, kitaifa siku hii inasherehekewa kwa muda wa siku 2, mjini...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2020/2021 na kurejeshwa nyumbani mwezi Februari...
Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza
Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado...
Amani iwe nanyi.
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in Blood kule Facebook yani kila...
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya umeshafanyika,Rais ameteuwa kwa kiasi kikubwa makada watiifu wa chama Tawala,wengi wao wakiwa vijana na wenye elimu ya kutosha.
Moja ya majukumu waliyopewa leo ni...
Tazama mahojiano kamili na Mwanasiasa LAZARO NYALANDU, akitolea ufafanuzi wa alichokiongea kwenye mkutano mkuu wa CCM na nia yake ya kuendelea kushiriki siasa za ndani ya Chama na Nchi kwa Ujumla
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.
Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia...
Kwa miaka 6 Jensiter na Ndumbaro wamekuwa wakishikilia portfolios muhimu sana za kuangalia maslahi ya wafanyakazi. Hata hivyo mpaka sasa hamna chcochote cha kujivunia wanachoweza ongea kuhusu...
Hakika mimi uwa nasema ukweli bila sisi kama nchi kuacha kuishi ya Uongo uongo hakuna maendelea ambayo tutakuja kupata.
Mama Samia alionekana ni mtu atakaye kuja kufanya mageuzi makubwa lakini...
Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa...
Kwa mambo yanavyoenda na siasa zetu zinavyoenda naona tunahitaji sana kuwa na wagombea binafsi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi Rais.
Vyama vya siasa vimekuwa ni njia ya watu kutafuta vyeo kwa...
Uzushi huu hapa:
Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa...
TAARIFA YA OFISI YA MBUNGE WA KIGAMBONI KWA MWEZI APRILI, 2021
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) atakuwa na utaratibu wa kutoa taarifa za kila mwezi kwa lengo la kuhabarisha umma...
Kura moja ya raia wa Lindi inabeba uzito kisiasa mara tano kuliko raia wa Dar es Salaam. Kwa nini?
Angalia namba (nazitumia za 2016 na 2010, 2020 sijaona lakini kimsingi ni vile):
Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.