Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sababu zao ni chache tu... Uonevu Unyanyasi Ufisadi Unafiki Mauaji Upendeleo Udanganyifu Taratibu GENTAMYCINE naanza Kuogopa na kuna nchi moja ( nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja ) naona na...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita. Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
18 Reactions
111 Replies
15K Views
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, makao makuu ya chama, Dodoma Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo. Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu...
9 Reactions
215 Replies
22K Views
Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka. Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana. Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Mabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Mbunge wa CCM Singida Kaskazini, inadaiwa leo katika mkutano wa hadhara amesikika akisema kuwa CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya na waoga! lazaronyalandu: NIMEZUNGUMZA na wananchi...
38 Reactions
237 Replies
29K Views
Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu...
13 Reactions
34 Replies
3K Views
Ninajua kabla ya Corona uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia 6.9 lakini kufuatia anguko la uchumi wa dunia uliosababishwa na covid 19 uchumi wetu nao umeanguka na sasa unakua kwa 4.7% Ndio...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na demokrasia ya kweli, maslahi ya ruzuku kwenye vyama vya upinzani vingejiweka pembeni na kuwa na chama kimoja au viwili vya upinzani vikibeba agenda au sera...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Salaam wana JF, kama TUCTA wamefanya utafiti na kuona kiwango cha shilingi 975,000/= ndo kinafaa kama kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma na wafanyakazi kwenye sekta binafsi kuweza...
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
7 Reactions
122 Replies
16K Views
Sio nukuu za moja kwa moja ila nilichoelewa mimi: 1. Kasema tunatarajia kupandisha mshahara kwenye bajeti ijayo. Uelewa wangu: Bajeti ya 2021/2022 means inayojadiriwa sasa. 2. Mwakani nitakuja na...
1 Reactions
0 Replies
821 Views
Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician. Amepitia mengi, mazuri na mabaya. Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi...
47 Reactions
186 Replies
16K Views
Hatimaye Sugu na yeye ameunga mkono juhudi kwa namna yake.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Namna katiba yetu ilivyo inahitaji bunge lenye nguvu na meno kuisimamia serikali. Lakini kwa bahati mbaya bunge letu karibu lote limejaa wabunge ambao wameingizwa bungeni kwa msaada wa tume na...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Watanzania nawasalimu Nakumbuka wakati Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano Rais Samia anapokea ripoti ya CAG pale Dodoma alilitangazia taifa kuwa ameagiza uchunguzi ufanyike bank kuu kati ya Jan -...
0 Reactions
6 Replies
810 Views
Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea...
2 Reactions
6 Replies
995 Views
Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom