Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio Taarifa yao walioisambaza kwa vyombo vya habari .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu. Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa imekutana Jumatatu Tarehe 19/09/2016 katika Ukumbi wa UVCCM Makao Makuu, Dar es Salaam chini ya...
4 Reactions
102 Replies
14K Views
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee. Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni...
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Awamu ya tano imelalamikiwa sana kuhusiana na ukiukwaji mkubwa wa haki za watu. Pana watu wengi wameuwawa, wamepotezwa na wengine wamejeruhiwa. Wapo ambao wamefilisiwa, wamenyanyaswa, wako...
3 Reactions
2 Replies
779 Views
Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona...
28 Reactions
407 Replies
38K Views
Kiukweli hotuba yako ilikuwa nzuri sana, ispokuwa katika zawadi mbili ulizotaja. Moja ilikuwa sio zawadi bali ni dhihaka kwetu sisi wanachama wa CCM. Nyalandu haikuwa zawadi, ndio maana wajumbe...
16 Reactions
130 Replies
12K Views
Picha yakugusa katiba ilianza CCM tukapiga makofi wenye akili wakauliza yakawakuta mwisho wakasema tutabatizwa Kwa Moto. Mungu sii athumani Moto ukawababua mpaka na waliosema tutabatizwa Kwa...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi...
26 Reactions
137 Replies
13K Views
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi. Lakini kwenye miaka 5 ya...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Members, Mahojiano aliyoyafanya Mwandishi Jenerali Ulimwengu kupitia Jeneralionline pamoja na Tundu Lissu kuna mambo ya msingi Tundu Lissu amehoji. Mosi: Je, mkataba wa kujenga uwanja wa ndege...
42 Reactions
158 Replies
12K Views
SIRI YA SAKATA LA VITI MAALUMU CHADEMA HII HAPA. MDEE 19 NA SPIKA WANAONEWA BURE. Na Philipo Mwakibinga 0758910403 Tatizo siyo Mdee 19 bali ni nani anapelekwa baada ya akina mdee kuondolewa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna udhalimu nimeuona chini ya jua, maskini akiwa na gunia lake moja la mkaa, auze asaidie familia yake, ananyang'anywa na wafanyakazi/askari wa maliasili, sambamba na kuchukua simu na baiskeli...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi, Kuomba msamaha sio ujinga bali ni kujitakasa mbele za Muumba. Napenda kutumia nafasi hii kuomba msamaha kwa wote niliowakosea kwa kujibu hovyo au kutukana Katika thread zangu, Reply...
146 Reactions
168 Replies
14K Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Charles Stephen Kimei anawatakiwa waumini wa kiislamu na wanavunjo wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Pamoja tunaweza
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Tangua kupata uhuru wake mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na mamia ya wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurgenzi wa Halmashauri. Kati ya wote waliowahi kushika hizo nafasi na kupita katika ofis...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza! Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom