Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

JPM605

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
214
250
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.

Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.

Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.

Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.

Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.

Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
4,879
2,000
Aaah wapi wakati hata stahiki zake bado hazijalipwa na sasa ni takiribani mwezi wa pili, kuna wema hapo mkuu?
Tutamlipa, mbona kazini kwetu kuna mbaba kastaafu huu mwaka wa tatu hajalipwa bado stahiki zake?
Jiwe alibeba pesa mifuko ya hifadhi ya jamii kujinasua akaamua kuondoa fao la kujitoa, kuvunja mifuko na kujifanya abaiboresha kwa maslahi ya watumishi.
Sasa mtu kama huyo atendewe fadhila ili iweje?.
Vijana tunashindwa kuacha kazi kwakuwa tukifanya hivyo hatutapata pesa zetu.
 
Mkuu huyo baba wa hapo kazini kwenu si inawezekana michango yake labda haijaenda yote kwenye mfuko, au hata labda kuna issue ma'document'.

Jiwe docs zote ziko fresh ingebidi iwe chap tu. Halafu hayo mambo ya fao la kujitoa si mambo ya kisheria tu mkuu na as long as bado tunaishi mabadiliko ya sheria yatakuja tu. Mbona zishabadilika sheria nyingi tu mkuu ili kuboresha maisha.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
12,554
2,000
Hakuna mtu anayelazimishwa kuwa mtumishi wa umma nchi hii ili alipwe mshahara, posho na marupurupu kwa kodi za wananchi.

Hizo nafasi wanazigombania hadi wengine wanaenda kuloga kwa waganga.

Jiwe alikuwa anasema kazi yake ngumu ila jambo la ajabu alikuwa hataki mtu aisogelee kabisa.
 
Bombabomba

JF-Expert Member
Dec 23, 2017
1,337
2,000
Mkuu huyo baba wa hapo kazini kwenu si inawezekana michango yake labda haijaenda yote kwenye mfuko, au hata labda kuna issue ma'document'.

Jiwe docs zote ziko fresh ingebidi iwe chap tu. Halafu hayo mambo ya fao la kujitoa si mambo ya kisheria tu mkuu na as long as bado tunaishi mabadiliko ya sheria yatakuja tu. Mbona zishabadilika sheria nyingi tu mkuu ili kuboresha maisha.
Kiukweli utawala wa mwenda zake binafsi sipendi urejee tena hapa tz. Yaani hata kuchangia hapa kwa kutumia akili tuliogopa. Hao wastaafu hasa waliotangulia mbele za haki bila kupata chao, waliopo wanavyosumbuka, dah
 
kinsakina

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
922
1,000
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.

Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.

Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.

Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.

Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.

Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
unamteta ole sabaya muaji mkubwa huyu
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,140

Naona una huzuni nyingi baada ya bosi wako kusimamishwa kazi. Kama ulitegemea vya bure, ni wakati wako sasa huu kuanza kujifunza kuishi kwa jasho. Hakuna namna.

Hata ningekuwa mimi ndiye Rais, nisingependa kuwa na wasaidizi aina ya huyo Ole Sabaya! Ni magufuli pekee ndiye aliyefurahia sana kuteua wendawazimu.
 
omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
800
1,000
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.

Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.

Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.

Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.

Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.

Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.
Makini sana
 
Nyamatare1987

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
255
250
Fao aliondoa Kikwete acha kuongea uongo kukamilisha ajenda zako
Tutamlipa, mbona kazini kwetu kuna mbaba kastaafu huu mwaka wa tatu hajalipwa bado stahiki zake?
Jiwe alibeba pesa mifuko ya hifadhi ya jamii kujinasua akaamua kuondoa fao la kujitoa, kuvunja mifuko na kujifanya abaiboresha kwa maslahi ya watumishi.
Sasa mtu kama huyo atendewe fadhila ili iweje?.
Vijana tunashindwa kuacha kazi kwakuwa tukifanya hivyo hatutapata pesa zet
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,430
2,000
Mbona hakuangalia utumishi wa umma ulikomtoa? Ama kweli yeye ndo hakuwa na shukrani.

Apumzike alipoandaliwa na mwenyezi Mungu. Amina.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,455
2,000
Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri.

Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa kisawasawa hadi ikabidi Ben mwenyewe asimame kortini kama shahidi wa utetezi.

Ben alikumbuka pia kwa machungu na hasira tuhuma alizopewa na zikamchafua sana licha ya kwamba sio za kweli na nzito mno. Maswala kama ya kuwa alitumia jina la ikulu kujipatia mkopo binafsi wa Bilioni 1 wakati si kweli na kwamba migodi ya makaa ya mawe aliwapa wakwe zake na sivyo ilivyokuwa yalikuwa tuhuma zilizomsikitisha sana.

Mambo ya namna hiyo yalimfanya akatamka kwamba 'The public service is so thankless' yaani utumishi wa umma humalizika kwa teke la punda, hauna wema.

Binafsi nikitafakari hatima za viongozi waliowahudumia vyema wananchi nyakati fulani namna wanavyoondolewa madarakani kwa fedheha bila kukumbuka chembe ya fadhila zao na utumishi wao mwema nabaini kwamba BEN alikuwa sahihi.

Nawasihi viongozi wa umma wajiandae kisaikolojia kwa habari hii ya teke la punda ili wasipate maumivu makubwa pale wanaporudishiwa mabaya kwa mema.

Pole sana kwa msiba. Kwamba tokea Mkapa aseme yake na wewe haya wasema leo?

Kwa hakika ukiona manyoya tambua kuwa huyo kesha liwa kichwa!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,596

Umegusa.....

Ndio ubinadamu kwani kwenye RIZIKI HAPAKOSI FITINA.....
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,596
2,000
Pole sana kwa msiba. Kwamba tokea Mkapa aseme yake na wewe haya wasema leo?

Kwa hakika ukiona manyoya tambua kuwa huyo kesha liwa kichwa!
Amenukuu Kitabu chake...na vitabu vinaishi.....

Watu tunanukuu VITABU VITAKATIFU ilihali MAELFU YA MIAKA YAMEPITA...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom