Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu.
Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na...
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye...
Katibu wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Kichama wa Selou (Majimbo ya Namtumbo, Tunduru Kusini na Kaskazini) Ndugu Abdallah Mtutura na viongozi wengine wapatao 10 wa Kata ya Ligoma (Tunduru Kusini)...
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema hakuna Askari aliyemzuia Mbowe kufanya kampeni na kwamba hata video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha yeye na Askari wakibishana ni kwa sababu...
Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani...
Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.
Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo Alhamisi imewaachia huru, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso Tabura...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi.
Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka...
GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY
BISHOP DR. CHARLES GADI
PRESS RELEASE (May 12, 2021)
Ndugu Waandishi, salamu – naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru kwa kuja kunisikiliza, na pia niwapongeze kwa...
Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa.
Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona.
Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja...
Habari kamili hii hapa
======
Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio...
Ukienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere...
Dar es Salaam,
Kufuatia tangazo lililotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam siku ya Ijumaa tarehe 07/05/2021 kuhusu kuondoa vibanda vya wafanyabiashara wadogowadogo...
Na David KAFULILA
KUNA sababu nyingi za kuchelewa kwa LNG yetu kulinganisha pengine na tulivotarajia kama nchi lakn pia kulinganisha na washindani wetu eneo hilo kama Mozambique.
Sababu kubwa...
Hakika Kitendo cha Mama Samia kupata ushindi wa kutisha kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumenifurahisha sana kwani sasa chama kimerudi kwa Wenye Chama chao.
CCM ilikuwa imepokwa na Wahuni...
Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi,
Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu.
Nimeonelea leo niongee nanyi ili...
Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili.
Hayo...
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atazungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma Leo Alhamisi Tarehe 13.05.2021 kuanzia Saa 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.