Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki. Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia...
3 Reactions
8 Replies
936 Views
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie. Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako. Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
wizara ya kazi, ajira na watu wenye ulemavu kupitia kwa naibu waziri Mh. Antony Peter Mavunde alinukuliwa mara nyingi na vyombo mbali mbali vya nchi akieleza uuma kuwa wizara yake mpaka sasa...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Rais Samia amehutubia baraza la Idd
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Nchi isiyoheshimu sheria haiwezi kwenda mbele, wawekezaji watakuamini vipi kama sheria huzingatii. Nchi imekuwa kama uchina ya kale kila sehemu mabanda tu. Ondoa wote na muwatafutie maeneo ya...
1 Reactions
0 Replies
767 Views
Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Nadhani wako akina Sabaya wengi waliotengenezwa na mwendazake. Naona mama keshaanza kuwafurusha mmoja baada ya mwingine. Ni wakati sasa wakaondolewa wote ndani ya utumishi wa umma na kufunguliwa...
7 Reactions
11 Replies
950 Views
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani. Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani? Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Dunia ina historia ndefu ya viongozi madikteta wakatili waliowawetesa sana binadamu wenzao, waliosababisha vita na maafa makubwa makubwa kwa binadamu wenzao na walioacha makovu makubwa ya ya...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA: Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Mhe. Rais SSH naomba nikupongeze kwa ujasiri wa kufanya yale waliyotuaminisha hayawezi kufanywa na viongozi wa chama Cha Mapinduzi. Nikupongeze kwa kusikia kilio Cha wengi kuhusu tuhuma...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanabodi, Naweza kusema ni mwisho wa enzi. Lengai Ole Sabaya angeomba msamaha mapema na kukubali makosa angeishi kwa amani, Alitegemea nguvu za mwanadamu kumshika mkono wakati hana mkataba na...
27 Reactions
45 Replies
3K Views
Kwanza wasizibe njia za waendao kwa miguu, barabara za Mwendokasi na Barabara za Magari mengine Pili wasifanye biashara mbele ya wafanyabiashara wengine Tatu msijenge vibanda vya kuuzia biashara...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni Mtanzania ninaishi nchini Marekani katika mji wa Chicago kiitikadi ni mfuasi wa CHADEMA, nimeguswa kuandika Makala hii kueleza masikitiko niliyonayo kwa vyama vya upinzani nchini hususani...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Nimeona Twitter & Instagram. Kama ni kweli mbona walalahoi ama wale wanyonge kama Hayati Magufuli alivyokuwa anawaita wamepata utetezi mubashara. Kuna watu wanamtakia huyu Mama yetu Rais Samia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua. Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa yao walioisambaza kwa vyombo vya habari .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom