Taifa letu lina bahati mbaya sana, mwaka 1984 yalitukumba pia

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
2,057
2,000
Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.

Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.

Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.

Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.

Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,077

Setback ipi tumepata tena leo?
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,731
2,000
Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.

Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.

Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.

Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.

Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.m
Mambo mengine tumuachie Mungu huu mwaka kama sio kuanguka kwa huyu mwamba makampuni mengi yangepunguza watu na ingekuwa hali mbaya haijawai tokea. Ni Mungu anaye juwa sisi tusinyooshe vidole maana watu wamelia sana wewe hujuwi
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,403
2,000
Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.

Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.

Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.

Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.

Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.
Ambao hamjapata setback hiyo ni wewe na mama yako na pia baba yako
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.

Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.

Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.

Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.

Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.
Sumu zipo nyingi tu nunua hata ya panya koroga unywe umfuate tumechoka hizi kelele zenu. Wajane mbona haya ya kawaida tu kwani nyie ndiyo wa kwanza kufiwa?
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Mambo mengine tumuachie Mungu huu mwaka kama sio kuanguka kwa huyu mwamba makampuni mengi yangepunguza watu na ingekuwa hali mbaya haijawai tokea. Ni Mungu anaye juwa sisi tusinyooshe vidole maana watu wamelia sana wewe hujuwi
Wacheni Mungu aitwe Mungu. Dhalim alishashindikana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom