Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi...
"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa...
Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa...
MAONI KUHUSU DC LENGAI OLE SABAYA KUSIMAMISHWA U-DC WILAYA YA HAI
Cde, Daniel Limbu
0752114510
DC LENGAI OLE SABAYA ni kijana mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
Tumezisikia shutuma nyingi sana...
Habari wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam katika uzinduzi wa daraja la Kigamboni.
Amemsimamisha baada ya mkuu wa...
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto...
Ni mh. Dr Mgimwa.
Anaendelea kushusha nondo kuhusu tulikotoka,tulipo na wapi tunaelekea kama nchi katika maendeleo ya kiuchumi.ameainisha ukuaji wa uchumi,mafanikio na changamoto mbalimbali...
CLINTON ATUA NCHINI,
Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton yuko nchini kukagua miradi inayofadhiliwa na Plan International, pia kuzungumza na akina mama Vikoba.
Rais Kikwete akiwa na Rais...
Wakati makele yamepigiwa juu ya matumizi yenye harufu ya ubadhirifu serikalini kama vile ununuzi wa mashangingi ghali sana huko magari yaliyopo bado ni mapya....................gazeti la Tanzania...
Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba
Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza.
Ingekuwa...
Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiongea katika ziara yake inayoendelea Jimbo la Hai ameeleza kwamba tayari amemshtaki Mkuu wa Wilaya hiyo Ole Sabaya kwa kuzuia Mikutano na...
Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia...
Katika watu wenye ndoto mfu ni huyu dc wa hai eti mkakati wake ni kumtoa mbowe pale hai
Ameanza sera ya divide and rule...
Watu wa hai hatujaribiwi umoja wa wananchi wa Hai anaujua kikamilifu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.
Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani...
CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.
Niwapongeza...
kuhusu hiki kinachoendelea TUHUMA za KUPOKEA Rushwa ya Tsh. Million 10 kutoka kwa mmilikia wa hoteli ya kitalii ya Weruweru River Lodge zinazomuhusu DC wa Hai Lengai Ole SABAYA.
Nimelitafakari...
Baza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) imemwomba Rais Samia kuielekeza Serikali kuharakisha uchunguzi wa kesi, mashtaka ama kufuta mashtaka dhidi ya Masheikh wanaosota Gerezani kwa miaka mingi...
KUHUSU KUSHAMBULIWA MTANDAONI CLOUDS, MWANDISHI KIJAH.
Nimeongea na moja ya Watayarishaji wa Kipindi cha CLOUDS 360 (jina nalihifadhi).
Mnamshambulia bure Mtangazaji Kijah Yunus na Clouds kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.