CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,322
2,000
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.

Kazi Iendelee.
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,660
2,000
Na itaendelea kuishi..

Utaiacha iko hai kama alivyoiacha mwendazake aliyejigamba kuizika badala yake akazikwa yeye.

sijui hata kama alipata muda wa kuungama kwa alivyowatendea wanachadema
 
Fernando Jr

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
2,409
2,000
Kati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.

Na nikuibie siri tu kuwa katika wilaya ambazo mwendazake hakukubalika, Chato inaweza kuingia top five, hadi watu walisherehekea kifo chake! Ubinadamu kazi sana bora umfadhili mbuzi tu. Chato ilitakiwa wamuone ni heaven sent! Mtu unachukiwa hadi na ndugu dah! Anyway, sijui chanzo cha hayo yote, ila huo ndio uhalisia.
 
Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe!
 
Nyambi Sr

JF-Expert Member
Apr 17, 2021
386
500
Kati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.

Na nikuibie siri tu kuwa katika wilaya ambazo mwendazake hakukubalika, Chato inaweza kuingia top five, hadi watu walisherehekea kifo chake! Ubinadamu kazi sana bora umfadhili mbuzi tu. Chato ilitakiwa wamuone ni heaven sent! Mtu unachukiwa hadi na ndugu dah! Anyway, sijui chanzo cha hayo yote, ila huo ndio uhalisia.
Umeandika kwa hisia sana mkuu
 
guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,780
2,000
ukita kuiua chadema popote pale,kamilisha kwa vitendo zile kurasa 300+ za ilani.

chadema ni watu,ukitaka kuiua,ua watu wote hapa Tanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom