Tutasaga Meno na midomo tutafunga

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,201
Picha yakugusa katiba ilianza CCM tukapiga makofi wenye akili wakauliza yakawakuta mwisho wakasema tutabatizwa Kwa Moto.

Mungu sii athumani Moto ukawababua mpaka na waliosema tutabatizwa Kwa Moto wakati walio uchaguwa Moto wakiondoka Kwa presha ya Moto.

Mtu Mmoja wa chama Fulani akajitoa muhanga na akaanza kupayuka nakusema jamani jamani huyu sio huyu sio Kwa bahati mbaya akakutane na Mvua ya Rasha Rasha iliotaka kumtoa Uhai Ila japo mpaka Kesho haijajulikana Nani alimshushia Ile Mvua.

Uchaguz wa serikali za mitaa ukapita na kitokana na mazingira kutokuwa mazuri Kwa upinzani wakasusa. Na kwakususa kwao cc wakala bila huruma Jambo lile likaangaliwa na wenye akili kama alama nyekundu ktk democrasia japo hakuna mwenye nguvu ndani ya chama aliweza nyanyua mdomo.

Siku zikaenda maisha yakaendelea mara uchaguz huu hapa watu wakafikiri eti kwakuwa uchaguz unalindwa kikatiba basi wangewezw mdhibiti wapi anachukua mpira akaingia nao mpaka golin na golikipa akapewa kichapo huku refa akitangaza ushindi Jambo hili wenye hekima wanapigwa butwaa nakuamini eti atachemka wapi kama kawa ukila nyama huwachi unakula na SASA amefanya kile wote hawakukitegemea sio Bunge wala mahakama kumechakazwa uwenda Kwa mara ya Kwanza ktk historia ya Taifa hili kama sio mara ya pili.

Wengi wa watanzania najuwa hatujuwi kile kinaendelea na uwenda tunafanya mzaha Ila nataka kuamini mchuma Jambo hula na wanyumbani kwake. Tutake au tusitake haya yanaendelea siku sio nyingi yatageuka Kuwa kilio na kusaga Meno kama Kwa ndugu zetu.

Tunafurahi natunaimba tuna mwanaume Ila nyimbo hizi zitageuka Kuwa za maombolezo. Why? Mungu adhihakiwi chochote unachopanda lazima uvune. Watanzania tutavuna unafiki wetu. Mungu atuhurumie.
 
hapa ni kazi tu porojo peleka kule, na sio meno tu hadi wali wa mchanga mtakula bila kupenda
 
Nchi imekabidhiwa washamba -Zitto
 
The lips of the righteous feed many: but fools die for want of wisdom.

Proverbs 10:21
 
Damu ya saa 8
Itakuandama milele yote
AMEN
 
@mzeemwanakijiji Pascal Mayalla
Salam ziwafikie.
 
Mkuu unatutisha sasa...tupe suluhisho basi.
 
Kwa kweli waliompitisha na kutuekea jini hili walitokesea sana!
 
Back
Top Bottom