Nani wanavunja historia mbaya ya wakuu wa mikoa na wilaya waovu kupata kutokea?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,469
45,999
Tangua kupata uhuru wake mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na mamia ya wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurgenzi wa Halmashauri.
Kati ya wote waliowahi kushika hizo nafasi na kupita katika ofis hizo kuna waliowahi kuwa waovu zaidi ya hawa
1.Paul Makonda katika ngazi ya ukuu wa mkoa
2.Lengai Ole Sabaya katika ngazi ya ukuu wa wilaya
3.Lusubilo Mwakabibi katika ngazi ya uDED?
 
Muongezee na Kleruu. Huyu alikuwa na chuki hadi akalazimisha Mwamwindi aende akalime shamba la Kijiji cha ujamaa peke yake siku ya Krismas, wanakijiji wengine wakiwa kilabuni wakiyarudi mangoma na nyama choma
 
Tangua kupata uhuru wake mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na mamia ya wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurgenzi wa Halmashauri.
Kati ya wote waliowahi kushika hizo nafasi na kupita katika ofis hizo kuna waliowahi kuwa waovu zaidi ya hawa
1.Paul Makonda katika ngazi ya ukuu wa mkoa
2.Lengai Ole Sabaya katika ngazi ya ukuu wa wilaya
3.Lusubilo Mwakabibi katika ngazi ya uDED?
Awamu ilee.
 
Back
Top Bottom