Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa. Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiwa Genius lazima ugundue kuwa watanzania wanataka huduma bora za afya, maji safi na salama, elimu bora, miundombinu imara ya uhakika tofauti na hapo tusidanganyane Demokrasia wakati nina njaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Dar-es-salaama kikazi na nimetua mitaa yangu ya katikati ya mji na nikamkumbuka msafisha viatu na maoni yake hatari ya kisiasa. Nikakumbuka yupo mtaa wa Jamhuri lakini nilipofika pale...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Dear Government Leaders, officers and all Politicians: This is an open letter to you all, I'm Manager wa Makampuni, everyday I'm thinking to figure out how to solve the problem of unemployment...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo...
1 Reactions
2 Replies
931 Views
Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!" Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa...
49 Reactions
189 Replies
20K Views
Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
MAONI KUHUSU DC LENGAI OLE SABAYA KUSIMAMISHWA U-DC WILAYA YA HAI Cde, Daniel Limbu 0752114510 DC LENGAI OLE SABAYA ni kijana mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Tumezisikia shutuma nyingi sana...
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam katika uzinduzi wa daraja la Kigamboni. Amemsimamisha baada ya mkuu wa...
9 Reactions
508 Replies
93K Views
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto...
21 Reactions
134 Replies
10K Views
Ni mh. Dr Mgimwa. Anaendelea kushusha nondo kuhusu tulikotoka,tulipo na wapi tunaelekea kama nchi katika maendeleo ya kiuchumi.ameainisha ukuaji wa uchumi,mafanikio na changamoto mbalimbali...
0 Reactions
105 Replies
10K Views
RAIS KIKWETE ATUA MAGOLE, AKAGUA DARAJA LA DUMILA, AONGEA NA WANANCHI Posted by GLOBAL on January 27...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
CLINTON ATUA NCHINI, Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton yuko nchini kukagua miradi inayofadhiliwa na Plan International, pia kuzungumza na akina mama Vikoba. Rais Kikwete akiwa na Rais...
0 Reactions
74 Replies
10K Views
Wakati makele yamepigiwa juu ya matumizi yenye harufu ya ubadhirifu serikalini kama vile ununuzi wa mashangingi ghali sana huko magari yaliyopo bado ni mapya....................gazeti la Tanzania...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza. Ingekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiongea katika ziara yake inayoendelea Jimbo la Hai ameeleza kwamba tayari amemshtaki Mkuu wa Wilaya hiyo Ole Sabaya kwa kuzuia Mikutano na...
1 Reactions
72 Replies
14K Views
Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika watu wenye ndoto mfu ni huyu dc wa hai eti mkakati wake ni kumtoa mbowe pale hai Ameanza sera ya divide and rule... Watu wa hai hatujaribiwi umoja wa wananchi wa Hai anaujua kikamilifu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom