Halima Mdee na wenzake ingekuwa Kenya huenda wasingekuwa wabunge, Mahakama ya Kenya iko huru zaidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,901
141,842
Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba

Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza.

Ingekuwa ni Kenya swala la Halima Mdee na wenzake lingekuwa dogo sana na huenda wasingekuwa bungeni kabisa.

Eid Mubarak!
 
mwendazake ndiye chanzo cha haya yote ndiyo maana wahuni nao wamemzungushia mabati Kwenye kaburi lake ili aungue vizuri huko aliko.....yaani ni mateso huku duniani na huko kaburini
 
Chadema ambao ndio walitakiwa waende mahakamani wanajificha nyuma ya pazia. Ukwasi ni kitu kibaya sana.
 
Back
Top Bottom