Add bookmark
#1
Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake.
84(7)
" (d) if that person is removed...
Dar es Salaam. Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ADC, Queen Sendiga amemshauri mgombea atakayeshinda kutowaweka kando wagombea wenzake walioshiriki kinyang’anyiro hicho.
Mgombea huyo amesema...
Michungwani.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga Akipewa na kupokea zawadi ya chungu cha udogo na wananchi wa Michungwani wilaya ya handeni kama mfano wa...
Mkoa wa Tanga ni moja ya miji mikongwe na yenye kila aina ya rasilimali.
Ukiacha ardhi Bora,madini, bahari misitu ya asili mkoa wa Tanga ni maarufu kwa zao la mkonge,licha ya umaarufu wa zao Hilo...
Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Queen Cuthbert Sendiga kesho saa nne kamili katika makao makuu ya chama Buguruni Rozana . Mnakaribishwa wote.
Huyu mama nimepata bahati ya kusikiliza Sera zake nikaona ni mtu makini na mwenye future katika siasa za Tanzania ila tatizo chama anachotoka cha ADC ya Hamad rashid kimekaaa kiunafiki unafiki...
MGOMBEA urais wa chama cha ADC, Queen Sendiga adai kupigwa makofi na watu wasiojulikana na kuvunjiwa kioo cha gari lake akiwa katika maeneo ya stendi kuu ya zamani ya Manispaa ya Iringa kuendelea...
Mgombea Urais wa JMT kupitia Chama cha ADC, Queen Cuthbert Sendiga amepiga kura katika Kituo cha Ununio jijini Dar es Salaam ambapo amesema amejiandaa kwa namna yeyote.
Amesema, "Nikishinda...
Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake.
84(7)
" (d) if that person is removed from the
office of...
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni...
Makonda tuliambiwa amevamia ni mwizi ,fisadi mkubwa lakini mpaka leo unaelekea mwaka hana cheo chochote wala ulinzi wowote lakini hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpeleka mahakamani.
Je...
Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu.
Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake...
Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye...
Wakuu.
Hii topic naindika usiku sana. Usingizi ulikata nikaamua niingie huku kidogo.
Swali langu ni dogo tu. Why wa tz tunafocus sana kwenye uchama na vi internal conflict vya makundi...
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote
CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na...
Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.
Eti Tunampambania, anatupambania...
Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na...
Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini.
Inapokuja suala la...
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.