Ole Sabaya eti anaota kumng'oa Mbowe, utang'oka wewe

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,840
17,438
Katika watu wenye ndoto mfu ni huyu dc wa hai eti mkakati wake ni kumtoa mbowe pale hai

Ameanza sera ya divide and rule...

Watu wa hai hatujaribiwi umoja wa wananchi wa Hai anaujua kikamilifu

Wananchi wa Hai waliwapa wabunge wa ccm miaka kadhaa ilopita huko ubunge but nothing change

Zaidi walikua wakisinzia bungeni na kusema hai hakuna shida yoyote labda wapewe tu bunduki za kuua manyani wanaokula mazao"hayo ni maneno ya mbunge mmoja wa ccm

Hizo ndo akili za maccm wengi

Ole sabayi unajisahau kuwa wewe ni mla rushwa,tapeli na mzinzi uliyetukuka ila soon mungu atazidi kukuumbua...

Najua wale vijana wako unaowalipa elfu 20 kwa mwezi wapo jumla 13 ili watukane na kukutetea mtandaoni watatukana sana ila wajue mwisho wa kina cha maji ni hapa

"Ndoto zako mfu hazitokupeleka kokote hakuna sehemu hai kwa ajili ya wala rushwa wachafu kama wewe na hao waliokutuma uwaambie kabisa"
 
tulianza Hai, tupo Mbeya vituo vinavyofuata vinajulikana ni kuondoa mmoja mmoja mpaka anabaki mmoja tu 2020.
 
Ndo maelekezo aliyopewa ndo maana anajeuri na nafas yake ...

Ila hakuna wa kumtoa mbowe, labda atoke mwenyewe...
 
Jamaa nadhani anakinuia vibaya kitu cha Arusha, mbona watumiaji wengi wako peace sana!? Ama ana laana ya kumbaka mzazi wake!?
 
Mbowe kwa mujibu wa Sheria mpya ya vyama vya Siasa haruhusiwi kugombea ubunge sababu alishakutwa na hatia ya kukwepa kodi. Alahukumiwa kuwa na hatia .Keshajing'oa mwenyewe kugombea
 
tulianza Hai, tupo Mbeya vituo vinavyofuata vinajulikana ni kuondoa mmoja mmoja mpaka anabaki mmoja tu 2020.
Hatuwaachii nguruwe shamba.

Mmekwiba sana ,mmepora sana,na sasa mnawatangaza watu wenu kuwa wabunge bila hata kufanya uchaguzi.

Kisha mnasema mnamuenzi Mwl JK Nyerere.

Baada ya kuondoka Nyerere ccm,imevamiwa na wanyama hatari,wala rushwa,wauwaji,watekaji nk.
 
Mbowe kwa mujibu wa Sheria mpya ya vyama vya Siasa haruhusiwi kugombea ubunge sababu alishakutwa na hatia ya kukwepa kodi. Alahukumiwa kuwa na hatia .Keshajing'oa mwenyewe kugombea
Tapeli mwenzio huyo
tapatalk_1564210016896.jpeg
 
Katika watu wenye ndoto mfu ni huyu dc wa hai eti mkakati wake ni kumtoa mbowe pale hai

Ameanza sera ya divide and rule...

Watu wa hai hatujaribiwi umoja wa wananchi wa Hai anaujua kikamilifu

Wananchi wa Hai waliwapa wabunge wa ccm miaka kadhaa ilopita huko ubunge but nothing change

Zaidi walikua wakisinzia bungeni na kusema hai hakuna shida yoyote labda wapewe tu bunduki za kuua manyani wanaokula mazao"hayo ni maneno ya mbunge mmoja wa ccm

Hizo ndo akili za maccm wengi

Ole sabayi unajisahau kuwa wewe ni mla rushwa,tapeli na mzinzi uliyetukuka ila soon mungu atazidi kukuumbua...

Najua wale vijana wako unaowalipa elfu 20 kwa mwezi wapo jumla 13 ili watukane na kukutetea mtandaoni watatukana sana ila wajue mwisho wa kina cha maji ni hapa

"Ndoto zako mfu hazitokupeleka kokote hakuna sehemu hai kwa ajili ya wala rushwa wachafu kama wewe na hao waliokutuma uwaambie kabisa"
Sasa hivi anakuna Nazi tu. In short amekuwa jobless Hana ishu na vile alizoea pesa za ujangili na starehe sina uhakika kama hata ana kibanda cha mpesa.

Polepole ana frame kule bahari beach ya mpesa, tigopesa etc pale kkaribu na Budget Hotel.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom