Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia. Jpm ALIKUWA na kesi nyingi za uhujumu uchumi ambazo Rais aliyepo Sasa anaona nyingi hazikuwa na mashiko.
Lakini pia yapo Mambo Marais wote ukubaliana na hayo ubaki bila kubadilika. Ni kwa mazingira hayo napenda kuuliza JK ambaye utawala wake ndio waasisi wa kesi hii ya Uhamsho aliacha husia gani huko Ikulu hadi kesi hii inakaa miaka yote bila kusikilizwa? Je, haoni kama Jambo ilo kwa Sasa linautesa moyo wake na kwa kuzingatia ushawishi wake kisiasa anao uwezo wakujadiliana na Rais aliyepo wakayamaliza?
Mahakama naamini inasubiri tu tamko ya serikali ambalo ni final. Jk tamka neno wenzetu Hawa wawe huru ubarikiwe. Vinginevyo sema neno kesi isikilizwe Wapewe haki wanayostahili kukaa mahabusu na kila siku Jambo hili kujirudia.
Yapo mambo katika dunia hii ukiweza kuyaachia yakupe amani unapaswa kuyaachilia. Naamini kibinadamu JK na familia yake inapotamkwa hii kesi uwafanya wakose amani ........tuliponye Taifa.