Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
5,984
7,753
Nashauri serikali ianzishe wizara ya mafuta na gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas Tanzania.

Maeneo muhimu ambayo ningependa hii wizara ihusike nayo ni.
1. Exploration and exploitation of petroleum resources, including natural gas (methane, helium)
2. Production, supply distribution, marketing and pricing of petroleum including natural gas and petroleum products.
3. Oil refineries, including Lube plants and natural gas plants.
4.Natural gas utilization to get valuable products.
5. Additives for petroleum and petroleum products.
6. Lube blending and greases.
7. Planning, development and control of, and assistance to all industries dealt with by the Ministry.
8. All attached or subordinate offices or other organisations concerned with any of the subject specified in this list.
9. Planning, development and regulation of gasfield and oilfield services.
10. dministration of various Central laws relating to Petroleum and Natural Gas.

Ningependa wizara ya nishati ishughurikie mambo ya kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme. Ishughurike unaozalishaji wa umeme kutoka vyanzo mbalimbali mfano maji, gesi, joto ardhi, upepo, jua, mawimbi ya bahari n.k.

Huo ndio ushauri wangu,
Ninahisi ikiwa hivi tutaipunguzia wizara ya nishati mzigo, na itaongeza ufanisi na ukuaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

Karibuni kwa maoni.
 
Kuna taasisi inaitwa Pura ndugu, au huifahamu na kazi zake ndio hizo.

Yaani ni kama vile umekopi tu kifungu Cha 15 Cha Sheria ya mafuta ya mwaka 2015 (S.15 of the Petroleum Act, 2015).
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom