Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days. Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu...
23 Reactions
57 Replies
7K Views
Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Salaam za Eid El Fitri! Ndugu zangu wanaccm hasa waliojawa na roho za chuki na Gubu nawaomba ujumbe huu uwafikie siku ya leo mpate kuelewa. Acheni dhihaka zenu za reja reja kwenye mamlaka...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
NUKUU YA MSEMAKWELI CHAKUBANGA. Nikiwa kama mbobezi katika fani ya Uongozi, Master of Leadership and Management, Labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria, haki wala...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani na mtangulizi wake, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, akiwaonya viongozi wa...
10 Reactions
22 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi...
15 Reactions
108 Replies
13K Views
Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole...
14 Reactions
92 Replies
9K Views
Yuda alisikitika yesu alipomwambia atamsaliti mara tatu kabla hapajakucha usiku ule alipotiwa mkononi mwa watesi wake. Kwa imani ya kikristo Yesu ana umungu ndani yake kwa hiyo angeweza kumjua...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeondoa zuio la kampuni za simu nchini kuwatumia mawakala kusajili laini za simu mitaani. Akizungumza Jumatano Aprili 14, 2021 mkurugenzi wa mamlaka hiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ITAMBUE WILAYA YA ILEJE NA FURSA ZILIZOPO. Na Elius Ndabila. 0768239284 UTANGULIZI. Wilaya ya Ileje inapatikana katika Mkoa wa Songwe, mkoa ambao ni matokeo baada ya kuugawa mkoa wa Mbeya...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Abdoulquarim Malisa, ______ NYALA [Nyalandu] unasema moja ya sababu iliyokuondoa Chadema ni kushangilia kifo cha JPM. Lakini tuliona Chadema na vyama vingine vikitoa salamu za pole na viongozi...
2 Reactions
1 Replies
808 Views
Tuache unafiki na lawama zisizo na msingi kwa sekta ya afya kwani hatujawahi kuitendea haki katika bajeti. Sekta ya afya inapata bajeti finyu mwaka hadi mwaka na tunapoongelea hili wakati wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya...
12 Reactions
80 Replies
11K Views
Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The new queen bee 🐝 in the apiary… She is soft…she is amenable…she is not hardheaded…she is a mother…she doesn’t yell, scream, or scold anybody…she is this, that, and the third! Sasa endeleeni...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
BARUA NDEFU KWA PROFESA SHIVJI (MREJESHO) Na Ado Shaibu Kwa Profesa Issa Shivji, Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika tuliourithi toka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
leo ni siku ya Afya duniani na msisitizo unaweka katika kila mmoja wetu kuweza kupata huduma bora za afya bila kujali hali yake ya kipato au kimazingira(Universal coverage in health services)...
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom