LIVE bungeni: waziri wa fedha anasoma bajeti ya serikali 2012/2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LIVE bungeni: waziri wa fedha anasoma bajeti ya serikali 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jun 14, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni mh. Dr Mgimwa.

  Anaendelea kushusha nondo kuhusu tulikotoka,tulipo na wapi tunaelekea kama nchi katika maendeleo ya kiuchumi.ameainisha ukuaji wa uchumi,mafanikio na changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania ikiwa ni pamoja na deni la Taifa.

  Tuendelee kufuatilia.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  malengo ya bajeti 2013

  kukuza kipato
  kuimarisha miundombinu

  kuthibiti mfumko wa bei
  kukuza mikopo kwa sekta binafsi
  kuimarisha ubia kati ya sekta binafsi

  mikopo
  utawala bora
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kupunguza misamaha ya kodi,kupitia upya mfumo wa ukusanyaji kodi ili kuongeza mapato
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Hamna chochote hapo bora niendelee kusukuma tursker nisije nikapata stress nisumbiri ya kambi ya upinzani niisikilize kwa umakini
   
 5. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapa nafuatilia hii bajeti kwa makini sana, lakini naona ni yale yale ya miaka iliyopita. Sioni kama kuna kitu kigeni hapo...!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hakuna jipya
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,904
  Likes Received: 9,771
  Trophy Points: 280
  Serikali ina deni kubwa na wame kopa tena.
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  KIWANGO cha chini cha mshahara 170000
   
 9. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  wameongeza 35 elfu na kodi imeongezeka bdo haisaidii. Serikali ya kisanii mambo yake kisanii sanii tu.
   
 10. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  juice kutoka nje zitatozwa kwa tsh85 kwa lita lakini kwa zinazozalishwa ni tsh8 kwa lita
   
 11. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Bia hainyweki sasa.
   
 12. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Sigara nazo juu
   
 13. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ni kiwango anachopata mfanyakazi ambacho kitatakiwa kukatwa kodi anayepata chini hapo akatwi kodi.
   
 14. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hali ni mbaya zaidi maana naona sigara na bia kweli ni balaa kwa watumiaji
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 11,718
  Likes Received: 3,414
  Trophy Points: 280
  Nimekurupuka kutoka kwenye kikao kuwahi updates humu naona blah blah tu! imekuwaje leo JF tumeshindwa kurusha live hiyo hotuba?
   
 16. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ok nimekupata
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,765
  Likes Received: 14,306
  Trophy Points: 280
  Ndivyo alivyomaanisha.
   
 18. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haya majamaa yanakera sana kila mwaka yanatupandishia bei ya sigara lol!

  Magari sasa tutaruhusiwa kuweka plate namba zetu miaka mitatu mil 5!
   
 19. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  air port charge service na zaongezeka ndani na nje
   
 20. fige

  fige JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 377
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kweli, hicho ni kiasi cha kuanzia kutozwa kodi ktk mishahara
   
Loading...