Ole Sabaya katumbuliwa kwa heshima tofauti na yule DAS wa Kisarawe aliyetumbuliwa kwenye mkutano wa hadhara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.

Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.

Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli kwenye mkutano wa hadhara Chadema walishangilia sana lakini hakuna mwanaccm aliyedai Magufuli ameamua kuwafurahisha wapinzani.

Katika siasa kuna nyakati za kuvheka na nyakati za kulia.

Tuwe wavumilivu.

Eid Mubarak!
 
Wape salamu na waliokwamia awamu iliyopita.
 
umeanza kujirudi sasa
 
Hebu tulia sasa, pumzika na Watoto na simu nayo ipumzike!
 
Tunakumbushana tu kwamba kutenguliwa, kutumbuliwa na kusimamishwa siyo jambo jipya kwa viongozi wetu wa kisiasa.

Niseme tu CCM ni lazima waendelee kuwa wamoja huyu Ole sabaya siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kutumbuliwa.

Nakumbuka yule DAS wa Kisarawe alipotumbuliwa na hayati Magufuli kwenye mkutano wa hadhara Chadema walishangilia sana lakini hakuna mwanaccm aliyedai Magufuli ameamua kuwafurahisha wapinzani.

Katika siasa kuna nyakati za kuvheka na nyakati za kulia.

Tuwe wavumilivu.

Eid Mubarak!
Fact kabisa
 
Unakipaji cha kuandika upuuzi alafu unasiasa za ushindani wa kitoto!! MTU anatesa watu,anaiba kwakutumia ofisi,anatisha watu,anadharau viongozi Leo mnaambiana mvumilie yeye kuchukuliwa hatua za kinidhamu!! What a fu**k... Unaanza kutetea eti sio kama ya kisarawe!!! Nilidhani ungejenga hoja takukuru wilaya ya hai na mkoa wa KLM ifumuliwe maana hawakufanya kazi yao vyema. Viwanasiasa uchwara kama we we ndio vidikteta uchwara vya badae kama sabaya,hapi na mentor wao makonda
 
Shetani ni mtawala. Huwezi kuwa mtawala bila milki na watu wako. Kwa Tanzania, shetani alifanikiwa kushika dola, na akawa anaabudiwa usiku na mchana. Wana wa Mungu wqkajuta na kuteseka. Kama ilivyokuwa enzi za Waisrael, baada ya Mungu kuwaacha chini ya utumwa wa shetani, maombi yao na machozi yao, yakaigusa nafsi ya Mungu, akawaondoa kutoka kwenye utawala wa shetani kwa mkono wenye nguvu.

Watu walioishi chini ya giza, amewapa mwanga mwangavu, amewazidishia shangilio maana amewaondolea hofu ile iliyoenezwa na ibilisi. Lakini tufahamu kuwa ibilisi ameacha mawakala wake wakifanya kazi usiku na mchana. Wana wa Mungu wasitaharuki wala kuwaogopa hapa mawakala, watapigika mmoja baada ya mwingine.

Taifa liliingizwa kwenye tanuru la moto ili lipate utakaso. Na sasa shetani hatarudi kwa sababu kila uchwao, litazidi kutakata. Na katiba mpya italipa Taifa utakaso wa kudumu.

Mungu tunakuomba uendelee kutenda makuu yenye kuliletea neema Taifa letu. Tunakushukuru ulivyopepereusha utawala wa shetani, utawala wa mateso, utawala wa mauaji, utawala wa uporaji.
 
Back
Top Bottom