Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chanjo ni mojawapo ya suluhu ya kukabiliana na janga la Covid-19, wanasema wataalamu wa afya. Lakini kuna hofu kuwa nchi tajiri zaidi duniani zinaweza kujilimbikizia dozi za chanjo na kuzifanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo. Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza; Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapi
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Tanzania President Her Excellency Samia Suluhu Hassan has on behalf of government sent condolences to the People of Zambia for the death of their Father of the Nation Dr. Kenneth Kaunda who passed...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Na Mwandishi wetu, Dodoma Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Bunge lipo live Waangalie Mashehe wa uhamsho duh! Anatumbua kwa haki bila kuonea mtu. Waliofanya uhuni wanashughulikiwa sio kwa kukomolewa Bali ni kwa mjibu wa sheria zilizopo. Anafuata sheria...
27 Reactions
69 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza amesema wanaopata ajali au madhara katika Chombo cha Moto ambacho Fidia yake husimamiwa na Sheria ya Bima wanapaswa kulipwa. Ameeleza hayo baada ya...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
Juzi nimemsikia mbunge wa ilala bwana Zungu akiipigia debe kodi ya uzalendo. Binafsi siiungi mkono kodi hiyo kwani wananchii tuna kodi nyingi sana tunalipa pamoja na uchumi wa wananchi kuwa ni...
2 Reactions
11 Replies
971 Views
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata kilo 88.27 za dawa za kulevya aina ya Heroin na Methamphetamine zikiwa ndani ya gari aina ya Toyota Prado iliyokuwa...
6 Reactions
101 Replies
11K Views
Hapo Mwanzo msimamo wa Rais na serikali nzima ulikuwa Tanzania HAKUNA KORONA kwa hiyo hakuna haja ya kuvaa barakoa. Baada ya wananchi, wanaharakati na baadhi ya viongozi wa dini kuonyesha msimamo...
38 Reactions
123 Replies
8K Views
Kwa siku kadhaa zilizopita, tumemshuhudia mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo akichangia hoja bungeni. Hoja zake zimeibua hisia tofauti kati ya wengi kutokana na sababu mbalimbali...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Wamachinga ni wananchi kama wengine na wana haki ya kuishi mijini kama watanzania wengine. Mkitaka kuwahamisha hakikisheni mmeandaa mazingira ambayo hayataathiri biashara zao, maana hii ndio kazi...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna...
4 Reactions
1 Replies
726 Views
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema tatizo la watu kukaimu nafasi kwa muda mrefu limekuwa kubwa, na kuhoji kama Serikali haioni haja ya kutunga Sheria ili iwe kosa kumkaimisha mtu kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo...
35 Reactions
116 Replies
8K Views
Aliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021 ======= Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai...
26 Reactions
374 Replies
40K Views
Back
Top Bottom