Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa...
KUTUMIA HELKOPITA SASA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NI SALAMA KWA CHADEMA TANGU MARCH 2021.
Ndugu zangu wananchi na wanachama wapenda mabadiliko ya mfumo wa KATIBA YA NCHI.
Ndugu Mbowe umelianzisha...
Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua...
Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6...
DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini...
WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUIFAHAMU WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari...
Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia...
Chama cha Mapinduzi kimetoa shinikizo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kumtaka Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abubakar Khamis Bakar ajiuzulu kwa madai ya...
THE BASHITE EFFECT:
Nchini Tanzania kuvunja muungano ni jambo rahisi sana kuliko kumfukuza kazi Makonda.
Uongozi ni sayansi,
Sayansi ni muunganiko wa kanuni mbalimbali za kitaalamu...
Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni
=======
Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa...
Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru.
Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo...
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.
Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria...
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata...
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI...
Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni.
Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka...
Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020...
Former Hai District Commissioner Lengai Ole Sabaya will on Friday appear in court for the second time to answer to six charges facing him.
However, the Tanzania Prevention and Combating of...
Kuelekea 2015 tutaona mengi ikiwa na pamoja na sharubu za simba kuchezewa na swala.
Rhobi Chacha na Musa Mateja
Waziri Mkuu Mstaafu aliye pia Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.