Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbowe alisema wazo la “Chadema Msingi” ambayo ilikuwa na lengo la kuwasajili wanachama wapya kuanzia ngazi ya chini, alilipata akiwa gereza la Segerea baada ya kusoma kitabu cha mwanazuoni kutoka...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa kuzingatia uongozi wa sheria Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu amefikia muafaka na mfanyabiashara Harbinder Seth kupitia Sheria ya Pre- Bagain na kumuwezesha Sethi kuachiwa huru...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam wanabodi, Moja kwa moja kwenye hoja. Tatizo tulilonalo ni ajira hii ni fact, watafiti wanasema kufikia 2050 Africa itahitaji ajira mpya zaidi ya milioni 500 (source frani hivi) Hakuna...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Tumeshuhudia hii miezi miwili kukiwa na kauli kadha wa kadha zenye kukinzana na matendo mbalimbali yaliyofanywa na awamu ya 5 chini ya Shujaa toka kwa wateule wake wa kipindi hicho. Moja ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Abstract* The development objective of Dar Es Salaam Urban Transport Improvement Project for Tanzania is to improve transport mobility, accessibility, safety, and quality of transport service...
7 Reactions
53 Replies
10K Views
Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo...
1 Reactions
3 Replies
810 Views
6:27 AM Juni 15, 2021, aliyekuwa Mbunge wa Iringa, Peter Msigwa ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter: "Hii sio kamati ya Amani, ni kikundi cha watu wasaka tonge. Wanotumia Neno la Mungu...
21 Reactions
59 Replies
5K Views
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya...
21 Reactions
135 Replies
9K Views
Takwimu mpya kutoka Mamlaka husika imesema kuwa kwa hivi sasa 77% ya ' Population ' ya Tanzania ni Vijana. Mnaotaka Kugombea Urais au Kuendelea nao baada ya 2025 Kazi Kwenu sasa katika...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwanza hakuamini (kwa unyofu wa moyo wake na upendo kwa kiongozi wake) kuwa mtangulizi wake hayupo tena na yeye sasa ana wajibu sio tu wa kutangaza msiba wake bali pia kuchukua nafasi yake...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni? Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia...
26 Reactions
124 Replies
11K Views
Bodi ya wataalamu na Ufundi wa Ununuzi wa Umma ni miongoni mwa Bodi muhimu zinazosimamia utaalamu hapa nchini.Bodi hii inahusika katika kuhakikisha wataalam wanaosimamia shughuli za Manunuzi hapa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi. Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli. Ndugu zangu...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanza tujikumbushe kuwa gharama ujenzi wa 'flyovers' na 'interchanges' ni msaada 'Grant' kutoka serikali ya Japan na nyingine ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (Mabeberu) . Mikataba ulishaingiwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la...
70 Reactions
206 Replies
23K Views
Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali...
13 Reactions
273 Replies
19K Views
Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania. Akichangia majadiliano Bungeni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka 2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka 3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka 4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka 5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka Huu ndio...
43 Reactions
140 Replies
13K Views
Back
Top Bottom