RAIS WA JMT MAMA SAMIA KUMSTAAFISHA UENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE IFIKAPO MWAKA 2023.
Na; Philipo Mwakibinga
Muda kidogo nilijiuliza sana bila kupata majibu juu ya azma na uamuzi wa...
Tangu uhuru Marais wote kabla ya mama Samia walikuwa wanaume, lakini sijawahi kusikia Rais kaitisha mkutano wa wanaume tu.
Kazi yetu ni kuondoa vikwazo vya elimu, mikopo na fursa nyingine kwa...
Ahsante sana mama yetu mheshimiwa rais kwa kuanza kuja maeneo yetu sisi wananchi wako kututembelea, tumekuona na umesikia na kufahamu adha mbalimbali tunazopata na hata kuwachukulia hatua...
Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma...
Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.
Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la...
Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB).
Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu.
Tofauti na...
Taifa letu limetokea kuwa la ajabu sana tumekuwa na wanasisa wa ajabu ambao hawana mikakati ya kuwasaida wananchi.
Wananchi nao wamekuwa watu wa ajabu wanadanganywa kama watoto wadogo ambao...
UMARIDADI WA MTOTO WA AFRIKA
Jicho [emoji872] Jaji_Tz. (African boy)
Wakati tunahitimisha "SIKU YA MTOTO WA AFRIKA" nitumie Maneno machache kuzungumza na Watanzania na Serikali yangu pendwa ya...
Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais.
Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka...
Kama tukitambua kuwa kama wananchi tuna majukumu kadhaa ya kuweza kusaidia kuinua uchumi wa serikali yetu na kusaidia katika ukusanyaji wa kodi. je ni wangapi hukumbuka kudai risiti wanaponunua...
Bahati nzuri Ndugu yangu ni mmojawapo wa madiwani wa viti maalum Iramba. Katika udiwani wake huu ni muhula wa pili na anakiri isingekuwa Dr. Mwigulu asingeshinda mwaka jana kwani upinzani ndani ya...
Inasikitisha sana mbunge anapata mshahara wa sh.Mil.11 na kiinua mgongo cha sh.Mil.200 na hakatwi kodi na huo mshahara na kiinua mgongo ni kodi za wananchi leo anasimama mbunge na kudai wananchi...
Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya...
Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama?
Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu...
Tumejulishwa kuwa amelipa fidia ya bilioni 200 na faini ya bilioni 26. Pia mitambo haijataifishwa.
Nataka nione pay slip ya hizo bil 200 maana utawala huu naona kama unawarejeshea pumzi mafisadi...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Viwanda vyote ambayo havifanyi kazi vimesharatibiwa na vitatolewa kwa watu wenye uwezo. Ameeleza, Serikali ilichukua Viwanda vyote ambavyo...
Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa...
"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi...
Mabenki ya yetu hayako katika kusisimua uchumi kwa kukopesha mitaji Bali yapo katika kupata faida kubwa ndiyo maana wakopeshwaji wengi mikopo ni ndoano ya kufilisika au kusaidia mabenki kuwa na...
Habari!
Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana.
Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.