Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania...
Wadau wa JF,
Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Daniel Chongollo atakuwa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya WenyeViti wa Mikoa wa UVCCM.
Mafunzo hayo yatanyika Jumamosi Juni 19, 2021 kwenye Chuo cha...
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge...
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH...
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar...
Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa.
Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya...
Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja.
CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na...
Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.
Rais...
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.
Pia, wanafurahi sana pale wanapoona...
Wadau Pamoja na kutokuwa na Elimu ya Mambo ya SHERIA Najiuliza kama KATIBA iliyopo inatamka kuwa BUNGE lazima liwe na KAMBI Rasmi ya UPINZANI je kwa kutokuwa na KAMBI RASMI Uhalali wa BUNGE ni...
Jamuhuri ya ndizi ni jina lilioibuliwa karne ya ishirini kuyaelezea mataifa yaliyokuwa na uchumi legevu wenye kutegemea zao moja na yaliyokuwa na rushwa pamoja na matatizo mengi ya kisiasa...
Nchi hii tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa utoaji haki. Mwananchi anaweza kupelekwa mahabusu wakati wowote, wenye mamlaka wakitaka, bila ya kujali una kosa au huna kosa.
Niliwahi...
Je, ni kweli wawakilishi wetu wapo kimaslahi ya nchi? KIA ipo, JKIA ipo, SGR hiyo inakuja.
Umataifa wa uwanja wa Msalato kujengwa kwa haraka huku watu wanakosa huduma za maji. Faida yake ni mini...
Ukiambiwa Dkt. Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wa leo wenye elimu na umri huo utaona kama vile tunarudi nyuma badala kwenda...
Mbiu ya kampeni ya kugombea urais ya Lissu ilikuwa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Pia aliahidi akipata urais atawaachia mashekhe wa uamsho ndani ya siku 100 za uongozi wake...
Ndugu Rais,
Ukifunika ripoti hii unatupa wasiwasi sisi wananchi kuwa unalinda upigaji na ufisadi, na hili litakuandama kisiasa kwa muda mrefu sana.
Ndugu Rais, uchunguzi wa hizi pesa uliuagiza...
Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie.
Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya...
Salaam Wakuu,
Tanzania tumepitia Vipindi Tofauti. Rais wetu Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ujana wake alikuwa wapi? Rais wa awamu ya Pili baada ya Nyerere.
Kupigania Uhuru hasemwi, Sherehe za...
Na. Farida Ramadhani na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Serikali imepokea gawio la kiasi cha shilingi bilioni 21.8 kutoka Benki ya NMB, ikiwa ni sehemu ya faida ya shilingi bilioni 206 baada ya kodi...
Leo 16/06/2021 12:45
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.