Je, nini maana ya #COVAX, ambayo Tanzania imeomba kujiunga?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
474
1,000
1624023982610.png

Chanjo ni mojawapo ya suluhu ya kukabiliana na janga la Covid-19, wanasema wataalamu wa afya.

Lakini kuna hofu kuwa nchi tajiri zaidi duniani zinaweza kujilimbikizia dozi za chanjo na kuzifanya nchi masikini zaidi kukosa chanjo kwa ajili ya watu wake.

Mpango wa dunia unaoitwa Covax unajaribu kugawa chanjo kwa usawa miongoni mwa mataifa yote. Lakini je unaweza kufanikiwa kufikia hilo.

Tanzania imeomba kujiunga na mpango wa #COVAX. Huu ni utaratibu wa usambazaji chanjo na vifaa vya tiba vya ugonjwa wa #COVID-19 unaosimamiwa na Taasisi tatu (CEPI, GAVI na WHO)

========

What is COVAX?​

In responding to a pandemic like this one, speed is everything. We need to develop vaccines, scale up manufacturing capacity, and deliver vaccines around the world as quickly as possible.

The Access to COVID-19 Tools (ACT) Accelerator is a global public-private-philanthropic collaboration to accelerate the development, production, and equitable rollout of COVID-19 tests, treatments, and vaccines. COVAX is the vaccines pillar of the ACT Accelerator.

COVAX brings together experts from around the world to collaborate on the research and development of a wide range of COVID-19 vaccine candidates and the manufacturing, procurement, and delivery of the vaccines once approved.

Through a mechanism known as the COVAX Facility, the partnership aims to secure and equitably allocate 2 billion doses of COVID-19 vaccines by the end of 2021. The vaccines are targeted for World Health Organization (WHO)-defined priority populations, including frontline health care workers and other groups at high risk.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom