Yuko wapi Shukuru Kawambwa?

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
993
1,338
Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapi
Screenshot_20200826_091255.jpg
 
Unamtakia nini?
Kamuulizie nyumbani kwake Bagamoyo.
Huna kitu kingine cha maana cha kufikiri?
 
Wajumbe walikula kichwa kwenye kura za maoni. Halafu ni tamaa tu, yeye mwenyewe alishawaambia watu kua hatagombea tena kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Alisema angemuachia jamaa fulani hivi afisa elimu msingi wa moja wapo ya manispaa za Dar(japo na huyo naye hakupitishwa).

Jambo la kushangaza uchaguzi ulipowadia na Bwana Kawambwa katia nia. Aliamua kuyatupilia mbali makubaliano ya kiungwana ya mdomo kati yake na Bwana Buheti lakini mambo hayakumuendea vizuri
 
Back
Top Bottom