Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Swali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.
13 Reactions
108 Replies
10K Views
Hebu someni wenyewe utetezi na adhabu ndio utajua kuwa watu walikuwa na adhabu tayari kabla ya utetezi. Tanzania bana End justify means badala ya means kujustify end Pia soma: Thread 'Gazeti la...
23 Reactions
54 Replies
7K Views
Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri? hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka Serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani...
40 Reactions
109 Replies
9K Views
Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa. Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema. Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli...
11 Reactions
164 Replies
17K Views
Nilienda likizo TZ kutoka hapa Dallas, Texas ninapoishi na kufanya kazi. Watu wengi walikuwa wananiambia tuna reli kama huko kwenu inakuja. Kitu ambacho hawajui Reli nyingi hapa sio za abiria ni...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi Sasa tumechoka na vyombo vya...
12 Reactions
98 Replies
6K Views
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma. Mnatakiwa kutambua...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Nayasema haya bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Nasema na kuamini kuwa kama CHADEMA ikimpokea Edward Lowassa kuwa mwanachama wao,CHADEMA itakuwa inajifuta kwenye ramani za siasa za nchi...
31 Reactions
2K Replies
182K Views
Msitufanye watoto wadogo eti kakaa tumboni miaka mitatu na anatibu kwa kutumia Sala na maji. ==== ‘Mrithi’ Babu wa Loliondo aibukia Rorya Rorya. Wiki chache baada ya kifo cha Mchungaji...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Wanabodi, Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha...
8 Reactions
48 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi pamoja na majeshi mengine yote hayana uwezo wa kubadiri taratibu na sheria za nchi yetu. Kitendo cha Jeshi la Polisi kuingilia mikutano ya vyama vya upinzani ni kitendo hatari...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Rais Magufuli amemsimamisha kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Faisal Issa kwa tuhuma za ukosefu wa nidhamu aliouonesha wakati wa kikao cha Kamati ya Usalama ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza...
2 Reactions
253 Replies
80K Views
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo. Mtoto wa amarehemu...
58 Reactions
485 Replies
127K Views
Kwani hasa CCM inasimamia misingi gani sasa huwezi kupata jibu la wazi. Tuchukue walau huu muda wa miaka 20 iliyopita utaona ukweli wa mambo. Nakusudia kutoka mwaka 2000. Kuanzia mivutano ya...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Nataka niliseme hili na ninaomba tuweke kumbukumbu hii kwa rejea ya kesho muda ukifika. Chama changu tulitaka kuungana pamoja na watanzania kuhusu suala la Tozo za kwenye simu baadaye tukaungana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita nilimsikia mwigulu akiongea bungeni kuwa Jeshi la Polisi lina mpango wa kuajiri vijana zaidi ya elfu nne ili kuongeza nguvu katika kukabiliana na uhalifu. Imefika hatua...
8 Reactions
154 Replies
16K Views
Back
Top Bottom