Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya...
11 Reactions
139 Replies
12K Views
Naona kuna dalili za kuyahepesha madai ya katiba mpya na haswa tume huru ya uchaguzi, kuna harakati zimeibuka kutoka kusiko julikana na ni nyingi na zinakuwa kama moto wa nyasi kavu. Lengo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Tanzania ni moja ya nchi ambayo ukidhani wananchi wake wengi wanachokisema ndicho watakitenda basi utakuwa unajidanganya na nafasi yako! Historia nchini imeonyesha mara zote wanaodhani wana watu...
30 Reactions
67 Replies
4K Views
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe? Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa...
23 Reactions
86 Replies
11K Views
Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa. Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga. Where is he?
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Kusema kweli mimi humu JamiiForums sina hata mwaka na mengi yaliyotokea nyuma sikuyajua hivyo ikanibidi nikiwa nimetulia home niwe napitia pitia baadhi ya nyuzi za nyuma. Katika pita pita zangu...
13 Reactions
83 Replies
9K Views
Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Sisi NCCR-Mageuzi tumepokea kwa mshangao Mkubwa sana kauli ya Msajili wa vyama vya Siasa, kuhusu kusitisha shughuli za vyama vya Siasa hadi pale anachokiita kikao cha meza ya pamoja kati ya vyama...
15 Reactions
19 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa? Umeambiwa moja ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje? Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
4 Reactions
163 Replies
14K Views
Mh Rais Samia hichi ulichotuletea cha ada ya ya kizalendo hatuitaki. Huku ni kuwaumiza wananchi wenye uchumi wa chini maana ndiyo watumiaji wakubwa wa hizi huduma ulizotuongezea! Mwenzio...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Vipindi mbalimbali vya chombo cha habari vinaweza kuwa na wasikilizaji wengi au wachache kwa kutegemea pamoja na mambo mengine, aina ya watu wanaoshiriki, hoja wanazoongelea, na umakini wa...
3 Reactions
3 Replies
908 Views
Kesho Yule Mtalii Mzee wa Anga anatua Namibia wenye kuhesabu Safari zake tunaomba watupe namba.
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Spika Ndugai ameshauri kamati ya bunge ya sheria kuangalia upya sheria za adhabu kwa sababu huko duniani vifungo vya miaka 10, 15 20 wameshaachana nazo kwa sababu dunia inakwenda kasi sana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom